Recent content by Godfrey Nkoko

  1. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mazungumzo na Wataalamu wa ujenzi wa Uwanja wa michezo Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Morocco wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo katika Jiji la Dodoma, unaotarajiwa kujengwa kwa msaada wa Mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI. Balozi wa...
  2. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri ya Iramba ashauri Uchangudoa uhalalishwe kuongeza mapato

    Je kuhusu maambukiz ya HIV coz weng hatuna maamuz rasmi/msimamo ukisha vuliwa nguo
  3. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Halmashauri ya Iramba ashauri Uchangudoa uhalalishwe kuongeza mapato

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Simon Tyosela amesema hatua hiyo itasaidia kwa kiasi kikubwa kuinua ukusanyaji mapato ya Halmashauri mbalimbali - Alitoa ushauri huo, kutokana na kauli ya Mkuu wa Mkoa, Dkt. Rehema Nchimbi aliyoitoa wakati wa Kikao Maalumu cha Kamati ya Ushauri...
  4. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Mkoa Mbeya: Ukiibiwa Mume au Mke wewe nipigie nitashughulika naye

    Mambo ni mengi na mda hautoshi [emoji1787][emoji1787]
  5. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Huyu rubani angekuwa mbongo ingekuwaje?

    Rubani wa Ndege ya Saudia SV832 akiomba kuruhusiwa kurudi tena katika uwanja wa Ndege mjini Jeddah, Saudia baada ya Abiria wake mmoja ambae ni Mwanamke kumsahau Mtoto wake Airport baada ya Ndege yake kuruka kuelekea Kuala Lumpur Malaysia, Rubani huyo aliruhusiwa baadae na kuigeuza Ndege hiyo...
  6. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Dar: Samaki wa kichina tani 11 wateketezwa

    Hilo ni kweli sasa inamaanisha usimamizi ni mbovu wa rasilimali zetu
  7. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Dar: Samaki wa kichina tani 11 wateketezwa

    Hiyo hapo mkuu
  8. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Dar: Samaki wa kichina tani 11 wateketezwa

    Wataanza kutuletea na mishikaki iliyo chomwa tayar
  9. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Dar: Samaki wa kichina tani 11 wateketezwa

    Yeah maana imekuwa 2much tumeendekeza sana haya mambo ya kuletewa kila k2
  10. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Dar: Samaki wa kichina tani 11 wateketezwa

    Shehena ya samaki wenye sumu kutoka nchini China wateketezwa katika dampo la Pugu Kinyamwezi Jijini Dar Es Salaam , zoezi lililosimamiwa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina. Shehena ya samaki wenye sumu kutoka nchini China wateketezwa katika dampo la Pugu Kinyamwezi Jijini Dar Es...
  11. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kweli nikupost chochote upate likes [emoji23][emoji23]
  12. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Kweli kabisa maana kuna wa2 post nonsense
  13. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Marubani wa ndege yetu ya Dreamliner. Je, hakuna Watanzania wenye viwango?

    Kwan huyo aliyekuwa anaongea na JPM kweny c mtanzania au ufuatilii headlines
  14. Godfrey Nkoko

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mchungaji aishi kinyumba na wake wa waumini kwa madai ya kushukiwa na Roho mtakatifu

    Ndo maana si yahamini madheheb mengine Mungu aniepushe
Back
Top Bottom