Bavicha mkajipange acheni kupingaaaa tuuuu... hii ni serikaliii makini saaaanaaa..... acheni porojo na kulalamika kila kituuu.. fanyeni kaziiiiii..... hapa kazi tu...
Hakuna kitu cha bure.... Serikali haiwez gawa dawa bure LA kwenye chronic diseases...... Hapa kazi tu.... Twende kazi... Speed 120 kwenye kona shika bomba.......
Mimi ni shabiki wa simba lakini hizi club zinaharibu Mpira. Na sisi simba niwazembe I am not proud for that... Kagera waliofanya uhuni na simba iliyopewa point
Kwan yeye akipenda shilawadu kuna ubayaa gani na yeye binadamu kama wewe..... Kwa hyo sio mbayaaaa.... Kuhusu hill LA bashitee tuache vyombo vifanye kazi yake watatupa maelezo mazuriii tu tusihofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.