Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Salute!.
Heri ya Passover feast kwa wkaristo wote!.
Nimekuwa namfutalia sana Rais wangu kipenzi tangu aingie madarakani,nikikumbuka ile fedha iliopatikana baad ya kustisha sherehe kadhaa kiasi kikubwa ilipelekwa kumalizia ujenzi wa Barabara pale Moroco(Dar).
Baada ya hapo kidogo alinunua vitanda pale mhimbili,Mara ndege kiufupi usfari na Miundo mbinu ndio concern yake kubwa..kilimo walaa,afya,wala,uhmm....
Lakini kwa kiwango kikubwa bado anafanya kama vile amejisahau kuwa yeye sio waziri tena.
Miradi yote mikubwa bado ni miundo mbinu tu. Nia inaweza kuwa ni njema lakni kama rais hatakiwi kufkiria eneo moja tu madhara yake ni makubwa sana kwa ustawi wa taifa.
Tendo la wagonjwa kugomea zawadi ni UJUMBE TOSHA KUWA KUNA SHIDA YA DAWA HUKO MAHOSPTALINI.ukizingatia pia mzunguko wa hela sio mzuri sana hasa kwa watu wa kipato cha chini..