Recent content by Godblessme

  1. G

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata tiba ya pumu ya ngozi kwa ndugu yangu

    Pumu ya ngozi dawa yake ni betamethasone cream, akishapona unaichanganya na vaseline blue seal ya South Africa yanakuwa ndio mafuta yake. Alitibiwa hivyo mwanangu na Dr Rahim Wa Regency
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu mnatumia dawa gani za asili kutibu magonjwa

    Nimeielewa sana hii.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari kaniambia mke wangu hawezi kupata mtoto kwa sababu tunatofautiana rhesus factor

    Mimi pia ni O-ve na husby ni O+ve . niliambiwa mtoto wa kwanza atakuwa safe if and only if hujawahi pata ujauzito before .so immediately baada ya kujifungua wakati wa kukata kitovu kama sikosei mtoto anachukuliwa damu, Kama atazaliwa sawa na mama I mean damu rhesus -ve hakuna shida coz mtoto...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Sipendi Ujinga Special thread!

    [emoji28] [emoji28] [emoji28]
  5. G

    JamiiForums Tanzania Herufi tatu (3) tu!

    oga
  6. G

    JamiiForums Tanzania 4life Transfer Factors, Science mpya ya kutibu magonjwa

    hiyo namba ya simu Kama imekosewa vile.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Operation ya moyo Muhimbili

    Salaam. Unaombwa ufike na mtoto wako mwenye shida ya moyo siku ya JUMATATU, APRILI 18, 2016, SAA 3 ASUBUHI katika KLINIKI YA TAASISI YA MOYO MUHIMBILI ili alazwe kwa ajili ya kuonwa na madaktari wa kigeni wa upasuaji wa moyo. Upasuaji huo wa moyo ni bure ILA utahitajika kuchangia laki tano kwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maumivu ya mkojo

    ni vema kuwahi hospitali ni kama ka UTI vile.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ana ujauzito wa wiki 3 na bado anapata hedhi

    inatokea kwa baadhi ya wanawake,kama sikosei hali hiyo wanaiita spotting kitaalamu. subiri waje
  10. G

    JamiiForums Tanzania Online medical consultation in Tanzania

    ni kama hii website iko katika matengenezo mtoa mada unasemaje
  11. G

    JamiiForums Tanzania Online medical consultation in Tanzania

    nadhani ni Huduma nzuri na itatusaidia.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ugumba/tasa unaondokaje!?

    nenda hospitali watakusaidia majibu ya swali lako.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kupata soko la Njugu na Komamanga

    soko zuri kwa komamanga ni soko la kisutu DSM tena yanauzwa ghali watu wanayanunua kama dawa
  14. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ziara hizi za Kinana zina tija?

    habari ndugu zangu?kwanza napenda kumpongeza katibu wetu kwa juhudi zake za kujenga chama ila namshauri apumzike sasa kwani kelele zake zinaenda kinyume na mawazo ya m/kiti wake. mfano:kinana anapinga ufisadi wakati kikwete unasapoti ufisadi. je sisi tumsikilize nan? nawakilisha
Back
Top Bottom