Kwa mtazamo wangu mi naona "mchane mbavu"..huyo anataka kukutumia tu pale anapojisikia na vile vile ana mke na watoto!Hakuna future hapo.. subiri ambaye hajaoa au kama jasiri na unaona unataka kuondoa upweke kwa kuolewa tafuta wa kukuoa..
Brazameni hapo umesema sawa nakubaliana na wewe.. Kuna list ndefu ya vigogo wa CCM wanahujumu uchumi wetu iliyotolewa pale mwembe yanga..Na tunafahamu madudu yao mengi tuuuuu.. jinsi wanavyoiba bila huruma mali za Watanzania.Kwanini basi tusiwaite MAFISADI?? Nasikitika kusema kwamba 2010...
...Mi namshangaa Makamba..amenunua chakula bila kuangalia kina expire lini na kukitoa kama msaada hii inaingia akilini kweli..??.Hivi kweli kingekuwa chakula anachonunua kwa ajili ya familia yake kweli asingeangalia kina expire lini??? .. Hii mi natafsiri kama ni dharau na kejeli kwamba hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.