Inauma sana.😭
Yaani hapa nawaza huyo angekuwa ni mdogo wangu, au ndugu yangu wa karibu!!! Hao wauwaji hata polisi wasingewapata, wasingejua wamekufaje na wamefukiwaje. Kwanza ningefukia majivu. Mungu amrehemu marehemu, na kuwapa faraja wafiwa. 🙏
Wewe unafikiri watu ambao wwnafikiria ni namna gani mwanamke atamwingilia kwanamke mwenzake; na namna gani mwanaume atamwingilia mwanaume mwenzake na wakaganya!!! Hao watu watakua na akili sawasawa??!?
Njaa iwakumbe wao, watusingizie sisi, Lol! Acha wanyooshwe na Dubu.
Nimekutana na hii adha jana. Nilipowapigia wakaniambia nina deni la mwaka mzima la kodi ya jengo. Na mwaka wa kiserikali ndo unaisha mwezi huu hivyo lazima wakate.
Nikajiuliza hivi kipindi nanunua miezi ua nyuma si wamekata! Sasa hili deni la mwaka mzima linakuwaje?
Tuna safari ndefu sana, na...
Halafu tumeomba kuandaa Afcon tukishirikiana na nchi jirani! Kww namna hii hatupaswi kupewa hiyo nafasi. Labda miaka mia ijayo, tufe wote na itikadi zetu za kujuana, wazaliwe wenye kutumia akili ipasavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.