Recent content by Gochavez

  1. G

    " Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na shauku aliyonayo mpinzani wetu dhidi yetu.''

    Hii kauli imebeba maana kubwa sana leo unajua kwanini unapocheza na Yanga kisha ukapata shauku sana ya kufunguka na kuwashambulia ndipo hapo unaingia kwenye mtego wao. Ukiwashambulia Yanga kisha ukaacha sana magepu kwenye zone yako ombea Yanga wasiupate huo mpira ni wazuri sana kwenye kufanya...
  2. G

    Azam FC na Dabo habari imeisha. He will be fired upon arriving in Tanzania

    Azam hawajawahi kuwa serious kwenye ishu ya makocha, kocha anapewa timu halafu hana Leseni A halafu eti msaidizi ana Leseni A. Upuuzi mtupu.
  3. G

    FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024

    Azam Fc ni timu ndogo yenye pesa hahahahaha. Huu ukubwa wa Azam sijawahi kuuona zaidi ya kupotoshwa na wachambuzi feki nchini
  4. G

    Players who never realised their full potential

    Kuna huyu anaitwa Giovani Dos Santos huyu alikuwa zaidi ya Messi kipindi anachipukia barcelona ila ni huzuni alipoishia
  5. G

    Baa ya Kitambaa Cheupe Tabata inaungua moto

    Nipo kwenye gari nimeshindwa kupiga picha ila hali ndio ilivyo kwasasa. Habari zaidi nini chanzo cha moto ni huko baadae, wahusika wakija kuhojiwa.
  6. G

    Una Tatizo La Miguu Kuwaka Moto, Ganzi Na Mgongo Kuuma? Tumia Mkeka Tiba wa Reflexology Mat Kwa Suluhisho La Haraka...

    Je, umekuwa ukitafuta njia bora ya kutatua suala la miguu kuwaka moto usiku kucha au kujisikia ganzi mara kwa mara? Ungependa kuondoa maumivu ya mgongo ili uweze kufurahia maisha yako kikamilifu? Pia ungependa kujua suluhisho la haraka na rahisi la kuondoa ganzi na maumivu hayo Anza sasa...
  7. G

    Inasemekana kutembeatembea kwenye Mawe au kokoto ni Tiba nzuri Ya viungo vya mwili

    Kwa kutumia mkeka tiba wa reflexology mat unaweza kuondoa maumivu ya mwili, kuimarisha mzunguko wa damu, na kuboresha ustawi wa mwili wako. ▪️Utakusaidia kuondoa maumivu ya mgongo, shingo, na miguu. ▪️Utakuwezesha kupunguza hisia za miguu kuwaka moto na maumivu. ▪️Utakusaidia kunyoosha na...
  8. G

    Inasemekana kutembeatembea kwenye Mawe au kokoto ni Tiba nzuri Ya viungo vya mwili

    Kwanini utembee kwenye mawe wakati kuna mkekatiba huu hapa, Ukitaka kujua zaidi nipigie kwa namba hii 0748 463 797. Kama una whatsapp nakutumia video yake
  9. G

    Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

    Kwenye hizo kaangalie Mamelodi alicheza kwenye mji gani halafu njoo hapa tena
  10. G

    Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

    Wanafanya hivyo sababu za kiusalama hujawahi kuishi South Africa kule paone kwa nje tu
Back
Top Bottom