Recent content by Gobole

  1. Gobole

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunaahidi na kutekeleza tofauti na vyama vingine

    Out of curiosity...zile ahadi za flyover 7 Dsm zilikua ni ahadi za kwenye ilani ya 2020 au chombeza za slow slow?
  2. Gobole

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF (2025): Tanzania Miongoni Mwa Nchi 10 za Afrika Zenye Deni Kubwa la IMF

    Just Dec 2020 tulikua hatudaiwi ht mia mbovu na IMF na ma miradi tulikua nayo kila kona...fast forward 5yrs tupo top 10 na vitu kwa ground ni vya kutafuta na tochi...we are truly li likichwa la mwendawazimu...
  3. Gobole

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Just to put records straight...wabunge wote walio leta hii hoja ya kuongezwa muda hawakurudi 2020 hio ndo ilikua adhabu yao. Juma Nkamia, Kangi Lugola na Kessy.! Ni vile tu watu hamfuatilii mambo na ku connects dots.
  4. Gobole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Naunga mkono hoja...hakuna rangi utaacha kuona
  5. Gobole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kwani kwenye hii text kuna sehem amesema anafanya uber au amesema alikutana nae kupitia uber? Tujitahidi kusoma kuelewa sio kusoma kujibu.
  6. Gobole

    JamiiForums Tanzania Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Watu wana % zao kwenye hilo tangazo.
  7. Gobole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Chief saa moja na dk 1 ndio hii...tupo teyari.
  8. Gobole

    JamiiForums Tanzania Lissu alimkemea Magufuli na Mkapa ambao ni wakatoliki wenzie, huo udini anaopakaziwa sasa unatoka wapi?

    Wakati maaskofu wanatoa waraka ulikua wapi? si ulikua humu humu ndani?au ndo muendelezo wa kujitoa akili?
  9. Gobole

    JamiiForums Tanzania Kinana: CHADEMA Rais Samia amewapa Ruzuku wao Wanazunguka kumtukana, Wabunge wetu wanalipwa Mishahara midogo tukisema tuwaongeze mtapiga kelele!

    Hakuwapa au walipewa wakazikataa?kadri siku zinavyokwenda ndivyo kasi yako ya kujitoa ufahamu inavyoongezeka.
  10. Gobole

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza TANESCO imepata faida ya Shilingi Bilioni 110. Hongera Maharage Chande

    Achana na vifungu, Ingia website ya Tanesco utakutana na CAG approved financial statements utaziona hizo Faida. Km huwezi kusoma Financial statements hilo sasa litakua tatzo Lako.
  11. Gobole

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara ya kwanza TANESCO imepata faida ya Shilingi Bilioni 110. Hongera Maharage Chande

    Tangu 2020 Tanesco intengeneza Faida. Muwe mnasoma report za CAG.
  12. Gobole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapeleka huduma za maji kila kona ya Nchi

    Gomz ipi hio hamkufikiwa ya Mradi wa Pugu enzi za JPM....sisi tangu JPM amtimue yule jamaa aliekua ana mmendea Jokate tuna maji safi na salama. sema alivyoleft tu na mradi uka rest in peace pia. Nway Poleni sana.
  13. Gobole

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje aliyejenga Twin Towers za BoT alifungwa na aliyejenga Mpingo House hajafungwa?

    Lilijengwa enzi hizo wanyewe wasema ni upepo tu utapita...[emoji1787][emoji1787]
  14. Gobole

    JamiiForums Tanzania Manunuzi ya Tanzania nje yalifikia Trilioni 36 mwaka 2022

    Ht mafuta tungeweza kutumia gas km mbadala
  15. Gobole

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kwaio hapa tunajadili mkataba au sahihi?nlidhani ungewekwa mkataba tuujadili...tutajuaje km hizo sahihi ni za mkataba husika?
Back
Top Bottom