Recent content by Gobetse

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

    Hiyo 2007 nilikuwa la tatu Kibande primary, hata hao akina Juma siwafahamu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu huwa hawazeeki kirahisi?

    Ndugu nimepiga O-level Buyenzi🤝🏿
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mke wa ndoa atokomea kusikojulikana na mali zote za mumewe pamoja na kiasi cha Shilingi milioni tano

    Eti! Yaani mwanamke adokoe milioni 5 ahangaike tena kubeba masufuria akijua kabisa anaiba!🤔
  4. G

    JamiiForums Tanzania Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Nilinunua sangara mmoja kwa ajili ya mboga 20,000/- Bondo lake pekee niliuza 26,400/-
  5. G

    JamiiForums Tanzania Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Kule nitarudi kwa dharura tu! Maji ya kuoga yana harufu ya dagaa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Goziba hiyo, mvuvi kalewa hadi kazima
  7. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya rehamu(welding electrode)

    Zero saba nane tisa tano nane moja sita zero saba. Tuwasiliane jumatatu.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya rehamu(welding electrode)

    Kwa issue yako inabidi nikukutanishe na boss!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya rehamu(welding electrode)

    Bei nayouza kwa carton Tsh 70,000/- stick kubwa. Stick ndogo Tsh 75,000/-
  10. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ya rehamu(welding electrode)

    Sisi tuna import kutoka China. Tunapatikana Mwanza Nyerere road.
  11. G

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha SAUT Mwanza kimeweka wazi taarifa nyeti za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo

    Huyo mchoma nyama simfahamu🤣! Huyo father Maziku aliwahi kumzingua Chege pale Odinga. Kwa sasa M10 ina vigoda ila vinahamishika.
  12. G

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha SAUT Mwanza kimeweka wazi taarifa nyeti za wanafunzi ambao hawajasajiliwa kwa mwaka mpya wa masomo

    Unamzungumzia father Maziku? Yule mkushi anaitwa Negusie financial controller. Kapesa yupo masha, Malimbe complex ipo, jiwe mahaba lipo, na kwa sasa kuna venue M 14 hadi M 15.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nipo geto tu sielewi mwenye mchongo wa hela jamani

    Nipo mkolani hapa, natanguliza shukrani 🙏🏾
Back
Top Bottom