Recent content by Gne gne

  1. G

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Pole sana mkuu,,,"lakini kwanini usingejipa ujasiri wa kupambana na chatu..kwani chatu hawezi kupambana na watu wawili,,"lazima angekimbia.. Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    Sawa sawa inabidi tutafutane tujuane mkuu Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
  3. G

    JamiiForums Tanzania Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

    Mkuu siyo futi nane umekosea ni futi saba na nchi nne
  4. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

    Nikweli kabisa mkuu,,sisi watanzania tupo radhi kumshabikia mzungu kavaa chupi tu na tukamkosoa mwafrika alie vaa suti
  5. G

    JamiiForums Tanzania Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    Nzovwe hapa mbembela
  6. G

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Wewe mwenyewe kuandika haujui,,eti wavivu n wazembe ndio nini sasa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Nmecheka sana daaaah jaman
  8. G

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Mkuu una akili sana kwa mwenye akili timamu amekuelewa kula gwala[emoji106]
  9. G

    JamiiForums Tanzania Utakuja jutia, usioe msichana mliekutana ukubwani especially miaka 25+

    Sasa mkuu unakuta mtu anamiaka 25 amtafute yupi sasa akue nae,,ili baadae aje kuoa huyo
  10. G

    JamiiForums Tanzania Anasema namuumiza wakati duuduu

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana,,kwa mawazo yangu sikuwahi kufikiri kama tutafika huku kipindi kama hiki,,,mtu una sx na du wako unakuja kuomba ushauri huku kweli,,,,
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kuanzia kesho hadi kiama sitonunua tena haya Magazeti yafuatayo

    Hapo hapo kuna watu wanamsifia mfalme kajibu maswali vizur,,,kwiiikwiiii
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada was haraka: Kila nikiingia kazini naishiwa nguvu

    We utakua umechoka wewe pumzika
  13. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakuna cha katiba mpya ndani ya miaka 4 ya kujidai

    Sawa hata kama alikua sahihi,,alikua wapi kuongea kipindi hicho..Naona hii ni kumtukuza mfalme...
  14. G

    JamiiForums Tanzania MAGIC FM wazidi kumkosea adabu Rais, wagoma kujiunga na matangazo ya ikulu leo

    Kwani lazima,,,, hata hivyo ungerusha wewe
Back
Top Bottom