Yani we umesema unajibu swali lolote lkn maswali magumu hutaki kujibu full yaeleweke unajibu kwa mkato Sasa sisi tukikwambia ukweli unajibu fyongo kama ulimvojibu huyo jamaa hapo sa sijui ndo maelekezo ya Babu Yako aliyokwachia ama nn mana alikeambia mtu akiwa na swali majibu and hamna...
Hbr Yako Arsis Nina swali Hawa wakubwa wa Dunia kwann walidanganya umbo la Dunia kuwa ni duara Yani wanafaidika nn kuficha umbo halisi la Dunia kuwa ni duara naomba unijibu
Hbr Yako Arsis Nina swali Hawa wakubwa wa Dunia kwann walificha umbo la Dunia kuwa ni duara Yani wanafaidika nn kuficha umbo halisi la Dunia naomba unijibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.