Recent content by gmosha48

  1. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Upendeleo kwenye kugawa rasilimali za Taifa ukiendelea, tutaanza kuchaguana kiuzawa

    Itabidi baadae wote tuhamie huko kwenye maendeleo.
  2. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe kuanika chupi zake hadharani, imekaaje hiyo?

    Kah! Kwani cha ajabu hapo ni nini? Chupi au mama mkwe?
  3. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Wala. Mambo ya kawaida tuu.
  4. gmosha48

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maisha Baada ya Uchaguzi: CCM won the Battle and lost the War

    Aibu sana kumwita mwizi mheshimiwa. Mheshimiwa mwizi!!Waheshimiwa wezi!!
  5. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    😂😂 Pamoja na hayo yote bafo tumedumu!
  6. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    NiLiwahi kuulizwa" hivi wakiitwa wanaume na wewe utakwenda?".
  7. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kupata kadi ya chama cha mapinduzi "CCM" naanzia wapi?

    Cheki na akina mkandamizaji
  8. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

    Kwa hiyo atakuwepo rais wa Burundi na wengi wengi tuuu? Basi sawa.
  9. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Mungu hajaiondoa COVID 19 TANZANIA. Kinga ya asili na hali ya hewa ndivyo vilivyoifanya Corona ikose nguvu

    Tusikufuru. Hakuna hali ya hewa wala dawa ambazo zipo Tanzania ambazo majirani wetu hawana. Kama ni Maombi au kitu kinginge hatuwezi kusema. Ukweli ni kwamba, hata sasa Tanzania tumelindwa sana.
  10. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Masikini Vodacom na Airtel mnaenda kubeba mzigo usiowahusu!

    Asante mkuu. Nimetukana tusi moja kimoyomoyo hadi roho inaniuma. Wajinga sana hawa watu.
  11. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Masikini Vodacom na Airtel mnaenda kubeba mzigo usiowahusu!

    Halafu walivyokosa aibu wananitumia msg eti kifurushi changu kimekwisha. Ninunue kingine. Nikitukana nitakuwa nimekosea?
  12. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

    Hata angekuwa kwenye top three wakati wewe unapuyanga mtaani, itakusaidia nini?
  13. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

    Mkuu umesahau kuweka na namba yako ya simu, just in case wakitaka kukupongeza.
  14. gmosha48

    JamiiForums Tanzania Sisi wapare tuna akili za darasani kuliko wachaga

    Kwa nini ujifananishe na wachaga? Wataalam wanasema kuna njia mbili za kukiri jambo. Kukubali kuwa lipo, au kusema kuwa halipo.
Back
Top Bottom