Aiseee hii kweli..siku moja nilienda kununua nyama choma..jamaa ametoka kukaa anacheza karata akajifuta mikono kwenye lisuruali lake na kukata nyama..nikamwambia acha...nimeghaili...akasema oh vp bro..nikamwmbie kesho nikija unawe kwanza
That's true friend..huwa nashangaa upuuzi wa kumuua mtu kwa sababu ya dini...sina neno zuri la kulaaani tabia hii ila this is the thing i wouldn't do in my life...tamaduni za watu tunajifanya tunazujua kuliko hata wanyewe...
Wanachofanya Rwanda hata nchi za ulaya walifanya na bado wanafanya I mean survivor of fittest..si kwamba naunga mkono kinachisemakana Rwanda anafanya no..but hicho ambacho Rwanda anafanya nchi zilizoemdelea zimekubuu...ndo maana Obama alisema Tanzania kwanza...kitu cha kwanza ni nchi yako and...
Nilidhani mambo haya yanatokea tu kwenye movie ya supernatural duh...hii noma..ebana unaweza kuta pepo lilikua limesimama pembeni yako likimuamuru bila watu kujua...hili si jambo la kawaida...
Acha upumbavu wewe...ukianza kugusa dini na hili suala unakosea..ushoga ni mtu..kuna masheikh mashoga na mapadri pia..ukisema wakristo ndo wanashabikia ushoga unakosea kabisa mbona waislam wakienda kuhij kuna kipindi kinaitwa kusheherekeshana...mambo gani huwa yanafanyika hatujui hvyo , ni bora...
Lizbon katika masuala ya uchumi kuna kitu kinaitwa absolute advantage or competitive advantage..these concepts ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi..are the ones that define the profitability of the country in international business and hvyo zinaathiri pato na deni la taifa...ukubwa wa deni la...
We chiz kweli..unadhani nchi ka Rwanda wangeshindwa Fanya maamuzi haya...sikwamba hawapendi bali hawana maliasili..unadhani uswis ilipenda kutengeneza saa kama bidhaa kubwa ya biashara...hapana...hawawezi lima sababu nchi ni milima tu..hawana dhahabu za kutosha...hawana katani..we mshamba sana...
Hatuutaki muungano na hii ni sababu nzuri itakayofanya mtuachie Tanganyika yetu..go to hell zenji..afu honestly siku hz nawachukia wazenji Kama navyowachukia wachina..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.