Recent content by glove

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mke wangu anajiandaa kuachana na mimi au?

    Unapokua unakunywa fanta ukaamua kuondoka na kuanza kutumia pepsi inamaana kunakitu kipo kwenye pepsi cha ziada.mdada anafanya yake....kama ni ndoa wewe ulipokua unagonoka hukuijua? Welldone dada
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kina dada na kina mama tu

    Tatixo hao wanaume hawajielewi
  3. G

    JamiiForums Tanzania TANESCO watoa ufafanuzi matatizo ya LUKU!

    Hata leo umeme umekatika tanesco kwa hiyo wateja wameshimdwa kuhudumiwa! Sasa inakuaje shirika.kubwa kama.hili kukosa umeme?hta jenereta hamna?ni shida tanesco
  4. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Rip j.komba....tutakukumbuka kila 14 th kwenye nyimbo za kumuenzi babu nyerere
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti ajinyonga, Kisa kutoelewana na kugombana na mpenzi wake

    Jaman ma dada tuache kua tegemez kwan wengi ambao wanakutwa na haya matukio ni pale mtu anapokua tegemex na anahis mambo yake hayata enda coz amesitishiwa huduma.....,kupenda gan huko?mbona mzazi wako mkikwazana hujinyongi sembuse ki boy friend ambacho kimekukuta na akili zako?kupendwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Polisi wamekamata kilo 40 za dawa za kulevya Tegeta, Dar es Salaam

    Acha uzuzu,padri ananyumba.?ulishaambiwa mchungaji so jiongexe
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimuoe yupi kati ya hawa wasichana watatu maana wanatofautiana

    Ushaur wa bureee,kat ya hao kuna mwenye cha ziada kama hakuna bas hizo za fanana tulia.hapo hakuna wako .
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimuoe yupi kati ya hawa wasichana watatu maana wanatofautiana

    Sasa wewe umeshaona hao dada ni magar so u can test befor buying,acha huo ujinga kama wewe ungejua mmoja wapo anawanaume wengine zaid ya wewe ungejisikiaje?jitambue bas halaf ufanye maamuz yenye akil.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tumuunge mkono Miss Tanzania atatuwakilisha vyema Miss World

    Ar u think were blind.....,tell tha truth shame tha dv
  10. G

    JamiiForums Tanzania Sporah show Diamond akipasua yai

    Naona huku jamii tumeingiliwa kwan huku tunapaswa kujadil mambo yenye tija na si umbea ,hiyo mada ipeleke facebook.over!
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu anaumwa ugonjwa wa kisukari na magonjwa mengine mengi

    Hujielewi brow,angaliausije ukawa ni mmoja kat ya ugonjwa wake ukammalizia kwa stress
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

    Akakojoe alale,hajielew huyoo
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

    Acha uzoba wewe ukwel gan
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Looking For Agirl

    Unahisi ni rahisi kama unavyoenda kununua mchicha gengen? Sorry nenda facebook unaweza pata dogo.........
  15. G

    JamiiForums Tanzania Aliyetengeneza Smart phones ni mchawi mkuu duniani!

    Its trueee,yan hiz nimwiz wa wakat:thumbup::thumbup:
Back
Top Bottom