Recent content by Gloryb

  1. G

    SoC03 Kukuza Utawala Bora katika utawala wa umma wa Tanzania: Mikakati na athari zake

    MUHTASARI: Pendekezo la mradi huu linalenga kutatua changamoto za Utawala Bora katika Utawala wa Umma wa Tanzania, kwa kutambua umuhimu wa Utawala Bora katika kufikia maendeleo endelevu na kukuza maendeleo ya kijamii. Mradi huu unalenga kuchambua na kuimarisha nguzo muhimu za Utawala Bora...
  2. G

    Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

    thanks to all kwa ushauri wenu. Mungu awabariki
  3. G

    Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

    jamani mnatakiwa muulize kwanza una muda gan haujafanya mapenzi. sio mnasema tu. mwenzenu nina miezi kazaa cjafanya thats why nimeuliza ili nijue muda gani ninaruhusiwa
  4. G

    Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

    acha kunitukana Masterplan. ngono wakati ni mume wangu.
  5. G

    Nisaidie jamani, nina hamu ya kufanya mapenzi

    Habarini za leo wana JF Naombeni mnisaidie kunifahamisha, mtu akijifungua kwa operation ni baaada ya muda gani anaruhusiwa kufanya mapenzi? Mimi nilijifungua kwa operation mwezi uliopita sasa nimemiss sana dudu ya mume wangu. na pia naogopa asije mume wangu akatafuta mchepuko wakumtuliza...
  6. G

    Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

    asanteni nyote
  7. G

    Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

    acha utani Power G
  8. G

    Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

    Naomba mnisaidie nifanye nini ili chuchu zisiume. nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo hali hii imepelekea chuchu kuuma. yaani zinauma sana hadi huwa nawaza sana ninapotaka kumnyonyesha...
  9. G

    Daktari naombaa unisaidiee

    thanks to all maana nilishaanza ogopa. Mungu awabariki sana.
  10. G

    Daktari naombaa unisaidiee

    asante Nyalotsi
  11. G

    Daktari naombaa unisaidiee

    asante mpendwa
  12. G

    Daktari naombaa unisaidiee

    Habari za leo wana JF. Mimi ni mzazi mpya nimejifungua kwa operation mtoto wangu wa kwanza tarehe 14/5/2014 ni jinsia ya kike. Msaada ninaoomba hapa ni kupatiwa ufumbuzi wa swala hili mwanangu anatoka damu kidogo kidogo katika sehemu zake za siri. Ila dokta wa watoto na manesi wakasema hyo...
  13. G

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Habari namba 1 kuhusu shambulizi la kigaidi westgate Nairobi. sababu iliuzunisha sana watu wasiokuwa na hatia kuuliwa.
  14. G

    Standard chattered na stanbic bank

    yes kwa standard chat.. nenda kwenye website yao then nenda graduate program, jisajili kuna mswali ya mahesabu na logic. mim niliwah fanya nikafaulu hadi phone interview nilifanyia na mzungu kutoka Londoni. bahati mbaya kwenye hyo phone interview ndo sikufanya vizuri. haijalishi umesoma koz gan.
Back
Top Bottom