KAMA ULIVYOTOLEWA NA DR. B. M. MOHAMED:
ENDELEA.........
"HIVI NDIVYO ALIVYOWAHI KUSEMA MH ZITTO KATIKA MAHOJIANO NA MWAKILISHI WA WANAJAMII FORUM MNAMO TAREHE 22 NONEMBA, 2012. NA MAONI YANGU KWA ZITTO NI HAYA HAPA CHINI:
Mwakilishi: Vipi madai kuwa unatumwa na CCM ili kupunguza nguvu ya...
KAMA ULIVYOTOLEWA NA DR. B. M. MOHAMED:
ENDELEA.........
"HIVI NDIVYO ALIVYOWAHI KUSEMA MH ZITTO KATIKA MAHOJIANO NA MWAKILISHI WA WANAJAMII FORUM MNAMO TAREHE 22 NONEMBA, 2012. NA MAONI YANGU KWA ZITTO NI HAYA HAPA CHINI:
Mwakilishi: Vipi madai kuwa unatumwa na CCM ili kupunguza nguvu ya...
Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 1 - YouTube
Mahojiano na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Willbrod Slaa Part 2 - YouTube
JE UNADHANI NI MOJA YA AINA YA VIONGOZI MAKINI TUNAOHITAJI NA TUTAKAOJUTA TUKIWAKOSA KATIKA TANZANIA YA LEO HASA KWA MABADILIKO MAKUBWA NA YA HARAKA...
Hahahaa!! Jabulani, kama vile huwa unawachabo kaka, maana ni kweli kabisa na ndio maana akili yao ililala kwenye ''uhanithi' wakati wanajua jinsi wanavyotekeleza jukumu lao ipasavyo baada ya kikao maana ndio kipaumbele chao wakati wa vikao vya Bunge.
Hii inatia hasira sana, na hii inadhihirisha ni jinsi viongozi wasivyojali wala kusikitishwa na hali halisi iliyopo zaidi ya kujali maslahi yao. Nachelea kusema kwamba serikali haina malengo ya muda mrefu katika kuendeleza taifa zaidi ya kuweka na kuteleza malengo ya miaka 5 au 10 ya uongozi...
karibu mkuu, umeamua kubadili id..!!!!? Kweli mambo yamebana sasa, siamini mzee wa gamba kama na wewe unaigwaya cdm. Ila usjali kaka ''n''..a.k.a muasisi wa ''gamba'', mpambano bado unaendelea.
Nasikitika sana kuona hadi kipindi hiki cha sayansi na teknolojia kuna watanzania wasiojua kujibu swali au kuchangia mada, nawafananisha na viongozi wanaoingia madarakani na kusahau majukumu yao. Mtoa mada ni binadamu kama mimi na wewe, na sidhani kama alikua na lengo baya kuleta mada kama hii...
Tulia kijana mwenzangu, timiza malengo yako, hao huwa hawana shukrani na wanapita tu, tafuta vyako iko siku atakuabisha japo kwa sasa unajiona kidume. Kwanza una uhakika gani kuwa upo mwenyewe maana ushasema ni shugamami,na huyo alonae mwine katulia? tafakari sana usikurupukie maisha. Mafaniko...
Nakupongeza sana Telo kwa kupost mada kama hii, hizi ndio mada zinazotakiwa kujadiliwa ili kubadilisha fikra potofu na mtazamo wa hasi wa jamii ya sasa. Tatizo linakuja pale malumbano ya yanapochkua nafasi katika kujadili mada, sidhani kama hapa si mahali sahihi pa kunyoosheana vidole au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.