@ Ben Saanane, Hakulazimishwa kujiuzulu. Taarifa ilitamka 'ajiangalie halafu achukue uamuzi'. Hakuna sehemu yoyote aliyolazimishwa kujiuzulu. Tatizo mlisha tembea sana na hoja ya ufisadi, sasa ni monotonous kuzidi kuishadidia. Hapo Lowasa ndipo anaawacha kuelekea touch line. 2015 mtarudi tena na hoja ya ufisadi, imeshawachosha watu masikioni.
Watu gani waliochoshwa? Au wewe ndiyo mmoja wao?