Shugamami anataka nitumie pesa zake

Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na anataka niwe msimamizi na niachane na misheni zangu naombeni ushauri wakuu.


yaani kumbe wew wa bei rahisi hivyo?......................endelea kuuza tu hiyo roho yako............kifupi ni kwamba anailipia roho yako in advance!
 
Umetumwa wewe unafikiri kila jimama ana ngoma awo vidogodogo ndo wabovu kabisa full mizinga.
 
Kama umempenda kwa dhati sio mbaya akiku support.. Ila ndo na wewe ukubali she's the ONE for you sio uanze kuzunguka. Waweza fanyiwa kitu mbaya bure!
 
Kama una mpango wa kuendelea kuwa nae basi nakushauri ufanye shughuli zako tu kuliko kwenya kwenye miradi yake na kama ni kusimamia miradi yake ni vyema kukawa na mkataba (written) hii itakusaidia wakati matatizo yatakapotoke ila sikushauri kufanya hivo kwa sababu mimi naona huyo mwanamke wants to take control on you ili umuone yeye as your second god hapa mjini na ukizubaa umeliwa ndugu yangu
Lazima uwe makini usikubali kuacha mishemishe zako kwa ajili ya miradi yake. Ni vema yeye akawa miradi yake na wewe ukawa na mambo yako ili asiwe bosi wako kwani ipo siku utafanyiwa vituko
Good day
 
Usiteme BIG G yako kwaajili ya Karanga za kuonja bwana

Mwanaume jishughulishe usipende sana mteremko ki hivyo
 
Tulia kijana mwenzangu, timiza malengo yako, hao huwa hawana shukrani na wanapita tu, tafuta vyako iko siku atakuabisha japo kwa sasa unajiona kidume. Kwanza una uhakika gani kuwa upo mwenyewe maana ushasema ni shugamami,na huyo alonae mwine katulia? tafakari sana usikurupukie maisha. Mafaniko hayana shortcut, by the way ''shortcut is a long way''. Ukimwi, ukimwi, ukimwiii upo mlangoni kwako ni uamuzi wako kufungua au kufunga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom