Recent content by GLOBAL WARMING

  1. GLOBAL WARMING

    Rais Magufuli, mimi kusoma sijui je hata picha sioni?

    tisha sana mkuu, busara lazima itumike
  2. GLOBAL WARMING

    Naomba msaada wa mawasiliano ya mhusika wa TCU

    Nashukuru sana, ngoja nifatilie io channel ili kila kitu kiende sawa
  3. GLOBAL WARMING

    Naomba msaada wa mawasiliano ya mhusika wa TCU

    ni kweli kaka. ila tatizo kubwa apa nikuwa kwa sasa siko dar maana mimi naishi huku masasi mkoani mtwara yaan apo ndio pananitatiza
  4. GLOBAL WARMING

    Naomba msaada wa mawasiliano ya mhusika wa TCU

    ok. mimi nilikua mwanafunzi wa ifm kwa mwaka wa masomo 2014/15 kwa koz ya bachelor of accountancy. nikasoma kwa semister 1 na mwez mmoja wa semister 2, Ada niliopaswa kulipa kwa kozi hiyo ni 1,750,000/= mimi nikalipa kwa awamu moja sh. 1,050,000/= Kutokana na matatizo ya kipesa nkashindwa...
  5. GLOBAL WARMING

    Naomba msaada wa mawasiliano ya mhusika wa TCU

    nikipiga zingine hazipatikani zingne muda wote naabiwa zinatumika kaka
  6. GLOBAL WARMING

    Naomba msaada wa mawasiliano ya mhusika wa TCU

    Habari zenu wana JF, mimi ni mgeni humu jamvini. Naomba msaada wa kupata namba za simu za mhusika yeyote wa ofisi za TCU upande wa Admission mana kuna tatizo la kiusajili nimekutana nalo ambalo linanilazimu napate mtu wa kutoka pale ofisini, naombeni msaada huo ili niweze kuendelea na taratibu...
  7. GLOBAL WARMING

    Eti mwanamke pia humwaga shahawa?

    ???? Jinsia yako plz
  8. GLOBAL WARMING

    Revenge kwa aliyekusaliti

    Never under estimate your enemy!
  9. GLOBAL WARMING

    Naweza kuanza tuisheni ya advance (PCB)

    Komaa! Physics n hatar mbayaaaaaaa
  10. GLOBAL WARMING

    Nahitaji binti wa kiislamu

    Safi, ujana unapta
Back
Top Bottom