Kama viongoziwa BAKWATA watafanya vikao vyao kwakusikiliza maelekezo ya serikali nini basi kujisajili kama idara ya serikali na sio taasisi ya kidini? Nani Mkuu kwako Mungu au Serikali?
Hizi kiki za trillion 400 kuwa bilioni hewa 300 tushazichoka!!!
Uliona wapi mwizi akashikwa bila hukumu? Jiulize tu mabilioni yaliyopotea ndani ya Airtel nje ya ttcl yapo wapi hadi leo unakamata kopo tupu la blue band wakati inafilisika toka GB moja kwa 1000 hadi MB 500 kwa elfu??
Ni ujinga kwaza kuwa bandari ni flyover!!.... Yapo mambo mengi muhimu zaidi ya mipango inayofanywa sasa Dar ambayo yangefanyika Dar yangekuwa tija kwa walipakdi hata nje ya dar na bado kuifanya dar kuwa Bandari salama africa!! Suala la Huduma za kiserikali kuwa na kupatikana Dar ni suala la...
Mimi ndio kabisaa sijaona akili yoyote ndani ya hoja zako. Mfano wako ni mmoja tu ndani ya vigezo vingi vya kuzingatia katika uendeshaji wa shughuli za kiuchumi nchini na kwa manufa ya walipakodi sio sifa zisizo na maana kwa wasiojali jasho la mlipakodi na wasiolipa kodi huku wakitunzwa kwa kodi...
Kutotambua vipaumbele vya msingi vyenye kuwagusa wote kimaendeleo ni ujinga pia!..kutojua ni vipi ustrategize malipo ya mkopo husika kuwagusa wanufaika kuliko kila mtu asiyenufaika nao ni upumbavu kiuchumi. Sio lazima kila shughuli ya kimaendeleo kwa jamii fulani ndani ya nchi ichangiwe na kila...
Ukiwa mjinga huwezi pona kwa kuogelea mitaro. Akili ndogo hupayuka kwa hamaki za hulka ya kutotaka kukosolewa bila kusikiliza kwa makini ama kusoma ujumbe uliotolewa! Ulichouliza kimejibiwa humo ila kwa kuwa una ushabiki wa kijinga utabaki kuwa zuzu siku zote!
Nikujibu tu kifupi!!... Suala la Uchumi wa wenye magari na waishio Dar lisingechukuliwa kuwa kigezo pekee cha kusababisha kila mtanzania kuingia gharama kuchangia kuondolewa kwa madhila yao. Mipango mibovu ya uchumi kwa sehemu husika ndiyo sababu ya yote hayo na kujibidiisha kuwaneemisha watu wa...
Baada ya ccm kujitapa mna wanachama wengi kuliko upinzani sasa ni dhahiri mnaonesha kuwa ccm ina wenye akili wachache kuliko upinzani!!...Endapo kama idadi ya wanachama wa ccm ingelingana na uhalisia wa wenye akili, ccm isingejisifia kununua wapinzani kuwafanya sehemu ya think tank yake ya...
Kwa kadiri ya mawazo yangu....
Ni ujinga kuwaza kuwa kukopa na kuongeza kodi kwa watanzania ama katika huduma z a kijamii na kibiashara ndiyo njia pekee ya kuendesha shughuli za kimaendeleo nchini huku nchi ikiruhusu kupokea 4% ya mapato ya madini yake kwa wawekezaji wa nje. 50% peke yake ya...
Wakati wenzako wanaopa bilioni mia kuandaa miundombinu ya kukidhi mahitaji ya miaka kumi ijayo wewe unakopa bilioni mia kujifanya unaandaa miundombinu ya kukidhi mahitaji ya miaka mia ijayo ili hali uchumi na maendeleo yako ya sasa ni nyuma kwako mara mia!!!
Kujisifia ongezeko la deni la taifa...
Kuzungumzia ongezeko la uzalishaji kana kwamba secta zote zinawajibika kuongeza uzalishaji huku kuna secta nyingi zinafanya kazi za huduma zisizoongeza uzalishaji wa moja kkwa moja ni kutojua maana ya kuwa mwajiri na kongozi wa jamii. Ongezeko la uzalishaji ni function ya Utawala husika na...
Kuzungumzia ongezeko la uzalishaji kana kwamba secta zote zinawajibika kuongeza uzalishaji huku kuna secta nyingi zinafanya kazi za huduma zisizoongeza uzalishaji wa moja kkwa moja ni kutojua maana ya kuwa mwajiri na kongozi wa jamii. Ongezeko la uzalishaji ni function ya Utawala husika na...
Rev. Gilbert Kutta: -Kusema mshahara kupanda sio sahihi jiulize tu ni kwanini basi usishuke??.... Nini maana ya Usahihi wa kiwango cha mshahara na ni vigezo gani unatumia kuweka hizo targets za utendaji kazi ukilinganisha motisha unazotoa??...Ieleweke kuwa Kazi na ujira ni haki na si fadhila...
Ksema mshahara kupanda sio sahihi jiulize tu ni kwanini basi usishuke??.... Nini maana ya Usahihi wa kiwango cha mshahara na ni vigezo gani unatumia kuweka hizo targets za utendaji kazi ukilinganisha motisha unazotoa??...Ieleweke kuwa Kazi na ujira ni haki na si fadhila ..Tukianza hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.