Usijilinganishe na wenye madeni ya akili!


G

gkutta

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
289
Likes
165
Points
60
Age
51
G

gkutta

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
289 165 60
Wakati wenzako wanaopa bilioni mia kuandaa miundombinu ya kukidhi mahitaji ya miaka kumi ijayo wewe unakopa bilioni mia kujifanya unaandaa miundombinu ya kukidhi mahitaji ya miaka mia ijayo ili hali uchumi na maendeleo yako ya sasa ni nyuma kwako mara mia!!!

Kujisifia ongezeko la deni la taifa kwa kigezo linganifu na wenye madeni ya akili nchi zilizoendelea ni ishara ya upungufu wa Elimu chanya! Kukosa ili kuandaa standard gauge leo ya km 200 badala ya kutumia mkopo huohuo kuimarisha reli ya kati kwa kiwango bora na imara km 2000 ni hasara kubwa kwa nchi kama Tanzania. Achilia mbali kukosa kujenga uwanja mpya wa ndege chato badala ya kuboresha vilivyopo ili kupokea ndege nyingi zaidi!!
 

Forum statistics

Threads 1,237,078
Members 475,401
Posts 29,277,500