Recent content by gkinabo

  1. gkinabo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Rais Samia aliniambia suala la Lissu watalishughulikia bila kuingilia utaratibu wa mahakama

    Washughulikie hilo mapema atoke,tunamtaka aje kugombea.
  2. gkinabo

    JamiiForums Tanzania Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Yeye aliua mmoja mmoja huyu anatuua wote kwa pamoja.
  3. gkinabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Kupata alie bikira ni jambo jepesi??kweli?pengine ni mimi tu ndo niliambulia kukutana nao
  4. gkinabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ni kwa kubahatisha aisee,yaani kila ninayempata walishamalizana nae kitambo tu.
  5. gkinabo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Alie bikira ulimwengu huu utampataje sasa?
  6. gkinabo

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Halafu msamehewe kirahisirahisi tu,lazima muwaombe radhi mliowatenda mmoja baada ya mwingine na waliokufa mtuambie mtapelekaje maombi ya msamaha wenu
  7. gkinabo

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Huyu ni wa kukaangwa pamoja na kunguni hafai tena kuwa karibu na jamii
  8. gkinabo

    JamiiForums Tanzania UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Waliouliwa na kuumizwa kuharibiwa mali zao waanze kwanza kuwapmba radhi hadharani vinginevyo sisi tupo ma mama tu wao waendelee na mikakati yao ovu.
  9. gkinabo

  10. gkinabo

    JamiiForums Tanzania TTCL hamuendi mbinguni

    Mbinguni mbali,Kenya tu hawafiki
  11. gkinabo

    JamiiForums Tanzania Hili jina limenishinda kutamka

    Nairobi kuna mtaa unaitwa kumasi
  12. gkinabo

    JamiiForums Tanzania Damu zao zinadai kisasi

    Mabarabani sasa hivi hata watembea kwa miguu tunakosa pa kupita,na uchumi utashuka zaidi sababu waliopewa nafasi ya kufanya biashara kwa uhuru hawalipi kodi wala kuchangia maendeleo ya nchi@MACHINGA+BODABODA
Back
Top Bottom