Recent content by Gizakuu

  1. G

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    Nape has said, INAWAUMA NINI KULIPA ATALIPA YEYE, KIFO CHA KISIASA ATAKUFA YEYE KINAKUWASHIA NINI?!!!!
  2. G

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    Njaa iwe na Nape?!!!!!!!hovyooooooooooooo
  3. G

    CHADEMA: Bajeti itapita kwa kishindo

    Nimemsikia Chiku Abwao bungeni leo jioni akisema kwa niaba ya cdm anajua bajeti ya 2012/13 itapita kwa kishindo kwani Cdm hawana uwezo wa kuizuia kwahiyo Wao nao wanatmiza wajibu tu....
  4. G

    CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

    hahahahahaaaaaaaa great sinkerss
  5. G

    CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

    Matusi gani? Mie nimekuwepo kafafanua swala la BAJETI YA 2012/2013, KAFAFANUA KERO MBALIMBALI ZA MUDA MREFU NA KUZITATUA KWANI ALIKUWA NA MKUU WA MKOA NA WILAYA PALE, UGUMU WA MAISHA, AJIRA NA SWALA LA KATIBA MPYA. KWAKO WEWE HAYA NI MATUSI????????????????????????
  6. G

    CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

    Pamoja na kuhaha usiku kucha jana, kumleta Zitto, Msigwa na wale Oil chafu( kina millya), ili kuhujumu mkutano wa dogo Nape Iringa Mjini Chadema wameishia kuabika kwa ajabu sana!! Baada ya kupima na kuona kuwa hawatafanikiwa kushawishi watu wasihudhurie mkutano huo wa CCM Cdm waliamua kuwasihi...
  7. G

    PICHA: Zitto akiwa jimboni kwa Msigwa leo

    Aibu jamani, YAANI CHADEMA MMEKOSA WATU KIASI HIKI MPAKA MNACHAKACHUA PICHA ZA MKUTANO HUU?!!! nilikuwepo hizi picha mme adobeshop QUOTE=kamandamakini;4066288] Mh. msigwa Mh. zitto. magamba yavuliwa watu wamiminika toka chama chamapinduzi kuhamia chama cha demokrasia na...
  8. G

    CHADEMA wahaha usiku kucha kuhujumu mkutano wa Nape Iringa

    Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na kasi ya Nape kufuta nyayo za cdm mikoani, cdm wakiongozwa na makamanda wao kadhaa wamehaha usiku kucha kuamkia leo kujaribu kuzuia mkutano wa CCM mjini Iringa utakaohutubiwa na Nape Nnauye. Purukushani ilianza kwa kumbeba Zito na baadhi ya vijana wa...
  9. G

    Mkutano wa Nape Iringa: Wananchi kuhuduria wakiwa wanalia huku wameshika vichwa

    Napata tabu sana kuamini kuwa Chadema wameshindwa kabisa kuhujumu mikutano ya Nape mpaka watumie mbinu iliyopitwa wakati kiasi hichi!!!!!!!!!???? Haya maajabu ya mwaka!! Nanaambuwa baada ya juhudi kubwa za kuzuia watu wasijitokeze kushindwa sasa wanawasihi watu waende mkutanoni kwa style hiyo...
  10. G

    Nape na waalimu Mafinga

    Niliwaulimuuliza mmoja wa waalimu kama wameshinikizwa kuhudhuria mazungumzo hayo, akaanza kwa kunishangaa...." hivi mtu mzima anaweza lazimishwa kuja hapa?!! Sisi watu wazima TUMEOMBA WENYEWE KUKUTANA NA MWENYE SERIKALI AMBAYE NI CHAMA TAWALA, TUMWELEZE YANAYOTUKERA... hakuna aliyelazimishwa"
  11. G

    Nape na waalimu Mafinga

    Nashauri si busara kabisa kubeza hizi juhudi za magamba za kurudisha imani ya watu mbalimbali nchini kwao. Leo Mafinga Nape amekutana na waalimu zaidi ya 360 na amekuwa na amzungumzo nao kwa muda mrefu sanaaa! Juhudi hizi zitaturudisha nyuma sana kwenye ukombozi wa nchi tuwe macho na huyu.dogo!
  12. G

    Nape awasambaratisha Chadema Mafinga-Iringa

    mhhh magwanda kwishnei
  13. G

    Nape anapotoa maagizo kwa viongozi wa serikali, anasimama kama kiongozi gani?

    Nape ni Katibu Mwenezi na Itikadi ya Chama Cha Mapinduzi, NDO MWENYE ILANI INAYOTEKELEZWA KWA SASA NA SERIKALI,NI MOJA YA WAJIBU WAKE KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA HIYO ILANI. Msisahau hapahapa jamvini tumemsema sana juu ya ahadi za JK na serikali, akipita kuhimiza itekelezaji wake shida ni...
  14. G

    Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    CHANDIMU MNA ROHO NGUMU SANA!! Yaani mkutano uliorushwa LiVE tena na TV mbili, moja yenu nyengine yao CCM bado mnalazimisha watu waamini picha zimechakachuliwa????!!! Aaaah! sasa mmezidi uongo jamani mwisho hamtaaminika kwa lolote. Kifupi nilikuwepo uwanjani wakati picha ya mawaziri wanaongea...
  15. G

    Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    Hahahaaaa inafurahisha sana unapoona mwizi anakurupushwa kisha anaanza kusingizia viatu vinateleza, mwisho anakamatwa, anaanza kupiga kelele mbona hata juma aliiba jana???!!!! Anasahau MSHIKWA NA NGOZI....CDM HAWATAKI KUKUBALI KUWA CCM JANA WAMEFUNIKA BOVU JANGWANI ,WAMEAMUA KUZUSHA YAFUATAYO...
Back
Top Bottom