Recent content by Gitah

  1. Gitah

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Yaani jamaa anakuja na hoja nyepesi hivi, kupinga uwepo wa Mungu? Mm nikadhani utaweka huo uliodai ni utafiti wa kushiba kutetea hoja yako. Lakni ni bla bla tu!
  2. Gitah

    JamiiForums Tanzania Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Hawa jamaa wanasababisha hata kuwafundisha watoto wetu iwe ngumu kweli. Nawengine waking vituko hivi hawaelewi kati ya yale yanayofundishwa darasani na yanayofanywa na viongozi wa nchi hii. Hili swali la UHURU likiiulizwa kwenye mitihani ya CIVICS huwa wanakosa. Maana vitabu vinasema mengine na...
  3. Gitah

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    @ndungulile out!!!!!
  4. Gitah

    JamiiForums Tanzania Muhimbili na Mloganzila zafunga mashine za kujifukiza. Kupata huduma hiyo ni Tsh. 5,000 tu

    Nchi yetu kwa sasa ipo Kwenye majaribio kama siyo imani za kishirikina shirikina. Tujifunze kuchagua vizuri kipindi kijacho
  5. Gitah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

    Hata kama amefanya makubwa kiasi gani, bado watanzania wanayofursa ama ya kumchagua au kutomchagua. Maana ni yako yao kufanya hivyo. Kwa maoni yangu, kama tume ingekuwa huru, kura zinahesabiwa kwa haki, hakuna nguvu ya police-ccm, DED-CCM, mtendaji kata/vijiji-ccm, DAS/RAS-CCM na taasisi...
  6. Gitah

    JamiiForums Tanzania Wenye akili timamu wameondoka Dar es Salaam kukwepa Corona

    Tangu mgonjwa huu utangazwe, hii ndiyo thread ya hovyo kabisa kuzungumzia suala la CORONA. Imagine karibia nusu ya wakazi wa Dar wakaamua kurudi mikoani, yaani ndo utaelewa ule msemo wa: AMERUKA MKOJO AKAKANYAGA MAVI Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Gitah

    JamiiForums Tanzania Pamba, Korosho Mmeshindwa kununua sasa mnanyang'anya Watu Choroko zao

    Kahawa ni hivo hvo kwa mikoa inayolima zao hilo. Mimi sijui kwa nini wakulima hawapewi uhuru wa kuuza mazao yao kwenye soko HURIA Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Gitah

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

    Wengi waoo (Lumumba People) wanajitoa ufahamu tu siyo kwamba hawajui hali halisi. Mm binafsi nilikuwa na mtumbwi mmoja kwa ajiri ya uvuvi wa dagaa. Nilikuwa nimeajiri watu 5 katika mtumbwi huo, lakini bila huruma: mtumbwi, machine, nyavu za kuvulia (mitego) na makalabai, vyote vilitaifishwa...
  9. Gitah

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanza Huduma adaiwa kumwaga pesa kama Njugu Bunda Mjini akisindikizwa na Viongozi wa CCM Wilaya

    Sijaamini kaka huyu ni Paschal Mayala, labda account hii imekuwa hacked Pascal Mayalla, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Gitah

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

    R.I.P KAMANDA Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Gitah

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

    Acha uongo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Gitah

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma kila Ijumaa kuvaa jezi ya timu ya Taifa kuhimiza uzalendo

    CHAMA CHA MBOGAMBOGA WAKO KAZINI
  13. Gitah

    JamiiForums Tanzania Dalili zinaonesha zaid ya 50% ya watu wenye sifa ya kupiga kura hawajajiandikisha na sababu wamezitoa, usishangae tukadanganywa Takwimu

    Hivi unajiandikishaje Kwenye daftari ambalo hakuna kithibitisho kinachoonesha kuwa umejiandikisha. ie KITABULISHO. Na baada ya kuona Mwamko ni mdogo.... Watu wa CHAMA CHA MBOGAMBOGA wanajiandikisha Mara mia kidogo... Kwa maana Kwa mjibu wa maelekezo ya Ikulu kwa watendaji wa Kata hawaruhusiwi...
  14. Gitah

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hama hama ya wabunge na madiwani wa Chadema ndio imezorotesha morali ya wapiga kura kujiandikisha?

    Mpaka Sasa Matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa/vijiji yako mifukoni mwa watendaji wa JIWE kulingana na maelekezo aliyowapa pale Usiku. Sasa Kwa nini watu wajiandikishe kwenda kuchagua Wakati viongozi wanafahamika. Ukiona umepewa option Mbili uchague mojawapo lakini Kwa nyuma...
  15. Gitah

    JamiiForums Tanzania Tujuzane hali ilivyo kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura hapo ulipo

    Kwa nini nijiandikishe, Wakati watendaji WA Kata walishapewa maelekezo ya Aina ya viongozi wanatakiwa kuwatangaza. Kwa maana hiyo tayari majina ya viongozi Wanayo mfukoni. Kwahiyo Hata ukijipanga Kwenye mstari kwenda kumchagua kiongozi ambaye si Chaguo la JIWE .... Unapoteza Muda wako.
Back
Top Bottom