unachoogopa hasa ni nini? Labda nianze kwa kukuuliza hiyo kazi umeipataje pataje? Ulifanya usaili? Na kama haukufanya huyo Mzee alikujuaje? Na kama c ndugu yako, mna mahusiano gani? Ukiweza kujibu hayo maswali vizuri tutajua kama unaiweza hiyo kazi au laah!
upo sahihi kimtazamo lakini suala la mgomo baridi kwa Tanzania bado si muda muhafaka kwa sasa, bado kuna wananchi wengi sana bado hawaelewi nyuma ya pazia ya serikali yao, bado kuna watu wanaamini mabadiliko ya kimfumo kuwezekana. Umetoa mfano wa Martin Luther King, ulijaribu kusoma hali ya...
Angalia hili chapisho la Mwanahalisi la tarehe 09 Disemba, 2009
Siri za Zitto nje
Na Saed Kubenea - Imechapwa 09 December 2009
Mawasiliano yake yanaswaAponzwa na mwandishi wa habari
SIRI kubwa kuhusu mwenendo wa Zitto Kabwe (Mb) ndani ya chama chake zimeanikwa mitaani na zinaweza...
Tanzania Breweries Limited- Mwanza Plant is looking for a Mechanical Artisan. If you think you have all necessary qualifications your invited to apply. See the attachment for more details.
Regards
Emmanuel Christopher
HR Business Partner
Wasalaam,
Wana JF, ni muda mrefu sasa umepita tangu nianze kusoma mijadala ndani ya huu mtandao wa wanaJF, na sikuwai kuchangia hoja yoyote katika mijadala iliyokuwa inajadiliwa.
Si kwamba sikuwa na la kuchangia au kuhoji, ila nikufanya uchambuzi wa aina ya mitazamo ya watu wanaochangia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.