hata aliezaliwa dar na hajawahi kufika mwanza na shy tabia ni hizo hizo,pia wana ushamba wa vitu vya kijinga jinga kama simu, anabeba kila aina ya simu kuanzia samsung,nokia na the so like na akifika sasa baa,lazima azitoe zionekane, daaah hili kabila majangaaaaaaaaaaa, laptop tatu na...