anaitwa lusajo mwaipyana
huyu jamaa aliwahi kutolewa kwenye jamvini humu kuwa alimtapeli mtu. Utapeli wake huufanya kwenye atm za crdb. Hujifanya kadi yake imezama na huvaa smat na akimfuata mtu humwambia kuwa anafanya jeshini jkt. Taarifa zake za kweye face book zinaonyesha kuwa aliwahi...
Kaka kwanza pole sana!
Unapitia kipindi kigumu. Katika maisha unapokuwa umempenda mtu na kujitoa kwa kila kitu juu yake na kisha mtu huyo akafanya mambo ambayo unaona ni tofauti ni lazima nafsi yako itaumia. Jambo ninaloliona kwako ni hili; inawezekana mwanamke huyo hakuwa amekupenda tangu...
Kaka kwanza pole sana!
Unapitia kipindi kigumu. Katika maisha unapokuwa umempenda mtu na kujitoa kwa kila kitu juu yake na kisha mtu huyo akafanya mambo ambayo unaona ni tofauti ni lazima nafsi yako itaumia. Jambo ninaloliona kwako ni hili; inawezekana mwanamke huyo hakuwa amekupenda tangu...
ni kweli bro inauma lakini lazima tujue kuwa binadamu anabadilika kimawazo na kimatamanio so, ukiona umemthamini mtu akabadilika jambo jema ni kukubali hali halisi na kuendelea na maisha yako
hadaa'- mfano wa mkasa wa mapenzi unaosababisha kuuana Na bado kama kuna siku ambayo nitaijutia maishani mwangu ni ile niliyomtia machoni mwangu, siku ambayo hadi leo ninaposimulia mkasa huu, nikiwa Gereza la Maweni, moja ya magereza magumu...
Na bado kama kuna siku ambayo nitaijutia maishani mwangu ni ile niliyomtia machoni mwangu, siku ambayo hadi leo ninaposimulia mkasa huu, nikiwa Gereza la Maweni, moja ya magereza magumu Tanzania, nikitumikia miaka 30 na kazi ngumu kwa jambo ambalo hadi kesho ndugu, jamaa na marafiki hawaamini ni...
UKIIPENDA TUMA SMS KWENDA giningiasilia@gmail.com then ntaitunga hadi mwisho na tutaangalia tunafanyaje.
HADAA! Na Aloyce Eliah (Mginingi)
N
a bado kama kuna siku ambayo nitaijutia maishani mwangu ni ile...
Bro! umeuliza swali la msingi sana.
Ukweli ni kwamba malezi na makuzi yetu kama wanadamu ndio sababu ya mambo yote. Tunafundishwa kuhangaika kwaajili ya kujilimbikizia. Kila kitu tunachokifanya tunafudishwa kukifanya ili tuongeze umiliki kwa maana nyingine misingi ya makuzi na ulimwengu hii...
KWA WANAOTAKA MAYAI YA KYENYEJI NA ASALI
BEI LITA 1 ASALI-9000/=
TREI MOJA MAYAI YA KYENYEJI-15,000/=
TUMA EMAIL KWENDA giningiasilia@gmail.com au simu 0716 193 453
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.