Rweye
WanaJF Wakuu, hivi waliozunguka nchi nzima na kutangaza kwamba EL, RA na Chenge ni mafisadi kwa hiyo wavue magamba la sivyo Chama chao kitawachukulia hatua walikuwa ni viongozi wa CDM? Mbona hawa CCM hawaeleweki? Magamba hawakuvua, na CCM waliwaacha tu kwa maana walikuwa wasafi wasio na...