Recent content by gilldenu

  1. gilldenu

    JamiiForums Tanzania Hakuna siri kwa Mungu

    [emoji28]anawakumbusha tu mkuu...
  2. gilldenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulevi wa mume unaelekea kuniharibia kazi

    Wapendwa habarini, Mimi ni mwanamke ila sasa nakutana na changamoto kwenye ndoa. Mwanaume hana kazi wala kipato chochote kile anachoingiza ila ulevi wa pombe ni January hadi December. Ninachokipata kazini tunagawana ila ndo hivyo pombe lakini hilo halina shida bora alewe kwa starehe zake...
  3. gilldenu

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    namba ya mtihani ipo kwenye email
  4. gilldenu

    JamiiForums Tanzania Walioitwa usaili TRA Septemba 2023

    mkuu nomba mkeka wa majina tuangalie kama tumekumbukwa
  5. gilldenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

    aki tena
  6. gilldenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanipa sharti la kugawana mshahara ili anioe

    Nipo apa dilemma nipo kazini mwenzangu ajira bado, kaniambia ili tufunge ndoa inabidi mshahara wangu tugawane pasu kwa pasu ndo anioe. Nipo tu nimebaki njia panda.
  7. gilldenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urithi tulioachiwa na wanawake

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. gilldenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

    mbegu zinapatikana
  9. gilldenu

    JamiiForums Tanzania Anayejua naomba anisaidie!

    njoo dm mkuu tukuambie
  10. gilldenu

    JamiiForums Tanzania Accountant II at TANROADS (Posts 4)

    jaman msaada nkiapply inanigomea kutokana na tangazo limeandikwa Bachelor's na mimi kwenye programe name nina Bachelor nkiapply inagoma msaada tafadhari...
  11. gilldenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    oooh halleluya praise the Lord[emoji3059]
  12. gilldenu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    yes hii nakubali
  13. gilldenu

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    akiomba ile kazi inatoka pale hawezi kuapply tena...
  14. gilldenu

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za TRA

    jaman apa GPA naweka wapi
Back
Top Bottom