Recent content by gilishiphilomena

  1. G

    Shamba linauzwa

    Hapana hakuna Dalali ila hajapima vizuri kilometer maana bango la kuandikwa njia ya mkamba lipo site kwangu hapo tayari umeshatembea zile kilometer zote kutoka kibada, Mpaka uje ukutane na chuo cha kilimo cha mkorea. Nilichomsaidia awake km sawa ili Mteja wake ajue anaenda kununua sehemu yenye...
  2. G

    Shamba linauzwa

    Sawa lakini ngoja apatikane Mteja akikuta kutoka kibada hadi mkamba 9km basi itakuwa Heri. Lakini atakayeenda aje aseme Ukweli kama hajakuta kilometer zaidi ya hizo hadi mkamba.
  3. G

    Shamba linauzwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko kule toka 1986 naelewa mambo mengi
  4. G

    Shamba linauzwa

    Pima kwanza
  5. G

    Shamba linauzwa - Mkiu Mkuranga

    Shamba heka 22 naziuza zipo km 8 kutoka barabarani iendayo mtwara na km 100 kutoka mbagala , lipo Mkuranga kijiji cha miteza , Shamba halijawahi kulimwa. Maji yapo karibu. Lina hati ya kijiji, kila heka shilingi laki nane, Sina Dalali. Atakayependezewa namba zangu ni 0752363857.
  6. G

    Shamba linauzwa

    Mkamba kutoka kibada ni km 11???? Kutoka site kwangu pale Mwasonga kwenda mkamba ndiyo km 11, na kutoka kibada hadi Mwasonga ni km 17. Kapime tena ili hata ukipata Mteja ajue Ukweli halisi. Kutoka ferry hadi Mwasonga ni km 30 hapo bado mkamba.
  7. G

    Kujifunza na kujua kuzungumza lugha ya kichina,wote chinese bridge training center

    Chuo kiko wapi weka direction vizuri, nahitaji kujifunza Mimi na watoto wangu wawili Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    Nahitaji kinanda cha kawaida kiwe kizuri

    Kkoo mtaa wa uhuru ndiyo tunanunuaga hapo ala zote za mziki Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    NATAFUTA: Natafuta Shamba/kiwanja heka 2 au 3 pawe na umeme

    Njoo kigamboni Mwasonga kumeshapimwa bado kutafuta hati tuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    Nyumba ya kisasa inauzwa Mbagala 80M.

    Kuna barabara za mwendokasi zitapita kule Labda ipo kwenye eneo hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. G

    Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunapata tabu wenzenu, kuongea taratibu mtu anachoka kukusikiliza, ukiongea haraka hamtaelewana, yaani tabu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. G

    Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    Watu wanaozungumza kwa kigugumizi wamepotelea wapi?

    Ninacho mkuu naongea kwa mapozi kunigundua itakuwa shida Sent using Jamii Forums mobile app
  14. G

    Umeshawahi kutenda wema na ukakutokea puani?

    Dah! Si jambo dogo hili angeweza kupoteza kazi kwa wema wake Sent using Jamii Forums mobile app
  15. G

    Nakodisha mashamba kwa ajili ya kilimo.

    Kuna chemchem mkuu, Hakuna wanyama, lakini sasa nimemaliza labda mmoja wao aghairi kulima Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom