Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,469
Watu wanapigwa mambata nin? Tujuze tujifunze!Kuna nyumba mbagara maji matitu watu wana kaa bure nzuri ina vituko kuishi mule uvute Jani.
Watu wanapigwa mambata nin? Tujuze tujifunze!Kuna nyumba mbagara maji matitu watu wana kaa bure nzuri ina vituko kuishi mule uvute Jani.
Yesssss[emoji1690]Kuna Mwanajeshi mmoja mstaafu aliuziwa nyumba pale Chamazi Magengeni upande wa Magenge kulia nyuma ya msikiti. Sasa aliponunua akamwita fundi amfanyie marekebisho upande wa Dinning na Sitting room. Fundi alipobomoa kiukuta cha Dinning cha mushangaza kuta za upande wote wa dinning mpaka vyumbani zikashuka zikawa vifusi vya mchanga tupu. Alichofanya ni kwenda kwa aliemuuzia tena kwa bastola na kumwambia amrudishie hela jaama ikabidi arudishe hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nyumba imetangazwa na madalali wakubwa wote hapa mjini lakini haiuziki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu nyumba ina maajabu ili uishi mule lazima ukubali kuna viumbe wengine tofauti na binadamu wanaishi kwenye hiyo nyumbaWatu wanapigwa mambata nin? Tujuze tujifunze!
Inunue wewe uwakomeshe kabisa mkuuManeno ya watu wasio na pesa za kununua bidhaa iliyowazidi uwezo utayajua tu.
.
.
.
Wanunuzi nyumba bado ipo karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga-uza watu wengi wameshakuwa na mashaka na ubora wake,kinachotakiwa wajitokeze wanaozijenga na kuthibitishia watu ubora wa hizo nyumba ili waweze kufanya biashara vizuri...Hii nyumba imetangazwa na madalali wakubwa wote hapa mjini lakini haiuziki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jenga uza ndiyo nini maana sisi wa mikoani hatujui kabisa kinachoendelea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Kuna Mwanajeshi mmoja mstaafu aliuziwa nyumba pale Chamazi Magengeni upande wa Magenge kulia nyuma ya msikiti. Sasa aliponunua akamwita fundi amfanyie marekebisho upande wa Dinning na Sitting room. Fundi alipobomoa kiukuta cha Dinning cha mushangaza kuta za upande wote wa dinning mpaka vyumbani zikashuka zikawa vifusi vya mchanga tupu. Alichofanya ni kwenda kwa aliemuuzia tena kwa bastola na kumwambia amrudishie hela jaama ikabidi arudishe hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa hela maana mpaka Mkoani tunatumaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jenga uza ndiyo nini maana sisi wa mikoani hatujui kabisa kinachoendelea.
Hii nyumba imetangazwa na madalali wakubwa wote hapa mjini lakini haiuziki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mnatuma nyumba? Au ndiyo yale ya kutumana kutibiwa!!Toa hela maana mpaka Mkoani tunatumaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyumba za mbagala unatumiwa kwa njia ya online...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana ule ni udongoo uliosimama...Mnatuma nyumba? Au ndiyo yale ya kutumana kutibiwa!!
Kumbe unaweza kununua nyumba kesho yake ukaenda na Lori kubeba kifusi chake!!Nyumba za mbagala unatumiwa kwa njia ya online...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maana ule ni udongoo uliosimama...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nyumba kali, inafaa kuwa day care kabisa!