Shamba lenye ukubwa wa eka nne linauzwa lipo mkamba Kigamboni kilometer 11 kutoka kibada bei milioni tatu kwa eka kwa mawasiliano 0762 068839
kutoka kibada hadi mwasonga ni km 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko kule toka 1986 naelewa mambo mengiBishaneni kwanza kuhusu kilometers mkipata jibu mkuje upya
Unaweza usijue kilometres pamoja na kukaa huko kitambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko kule toka 1986 naelewa mambo mengi
Sawa lakini ngoja apatikane Mteja akikuta kutoka kibada hadi mkamba 9km basi itakuwa Heri. Lakini atakayeenda aje aseme Ukweli kama hajakuta kilometer zaidi ya hizo hadi mkamba.Unaweza usijue kilometres pamoja na kukaa huko kitambo
Kuna harufu ya dalali mahali... Sio hapa lakini