gilishiphilomena
Member
- Feb 11, 2019
- 32
- 40
Shamba lipo kigamboni mwasonga zimebaki heka 5 zinazotumika kwa kilimo, maji yapo, ulinzi upo. Mazao yanayoweza kustawi ni jamii yote ya mikunde, mbogamboga, mahindi, matikiti, pilipili zote. Heka moja 100,000/= kwa muda wa miezi mitatu. Kwa mawasiliano 0752363857 karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app