Nimeanza kuogea chumvi nina kama wiki mbili now ,kiukweli kuna wepesi flani nauona kwenye roho yangu na mwilini mwangu Nina jini ananisumbua si chini ya miaka 20 sasa ,ila Kwa muda huu naotumia naona ina muathiri Kwa kiasi flani Mshana Jr je nikiendelea nao Kwa hawa viumbe ambao wamekaa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.