Recent content by Gifted

  1. Gifted

    Ofisi ya Waziri Mkuu yaomba Tsh. Trilioni 12.5 mwaka 2026/2027

    Ameomba au ndo bajeti yenyewe anayoitaka yeye kwa mipango yake mwenyew e
  2. Gifted

    Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

    Kuna hawa wa kwetu sasa wanachomwa na jua tuu barabarani,hovyo tuu
  3. Gifted

    Askofu usikubali kumsujudia shetani wajua wanawinda kichwa chako

    Hilo bando bora ukatoe sadaka
  4. Gifted

    PostGE2025 CNN, Larry Madowo, mmezionesha Media zetu jinsi uandishi wa habari unavyotakiwa kuwa

    tanzania hakuna media,embu imagine kipindi cha wasafi asubuhi uwezi kujua kama hawa ndo waandishi wa habari wakubwa tanzania makelele tuu,WATOTO watajifunza vp Kutoka kwao takataka tupu
  5. Gifted

    PostGE2025 Gerson Msigwa asema ataitolea ufafanuzi documentary ya CNN

    msigwa anajifanya kila Kitu anajua sasa hapo atatoa ufafanuzi gani au anajua anakwenda kuongea na machawa wa ccm
  6. Gifted

    PostGE2025 Ushahidi wa mauaji kwa watu wasiohusika na maandamano

    Hii inawezekana ikawa ni kafara ya taifa,haiingii akilini ukatoa amri ya kuua raia wako hovyo wasio na hatia
  7. Gifted

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal
  8. Gifted

    Jukumu letu ni kukomesha siasa za kitapeli

    Chawa kaziini
Back
Top Bottom