“ Ukileta watu wa 2 na wao wakaleta watu wa 2 ambao nao wakaleta wa 2 kila mmoja utakua unapokea bonus million 8 kila mwezi 🤣🤣🤣 “
Sema Jaribu Mkali Riziki Popote 💯
Aisee mimi nimeshavuka hyo level ya kupenda kufurahisha mwanamke, zamani utotoni ndio nlikua nateseka mwanamke akiniongelea maneno mabaya au labda kunikataa kwa dharau au kunionyesha bad attitude.
Siku hizi nimekua nunda balaa kwanza hela yangu sitoi kwa mwanamke asiyekua na adabu au asie na...
Ushamba na Utoto Unakusumbua.
Ukitaka kutoboa maisha learn to disappoint women often (women in exception of ur mom).
Mwanaume anasifiwa mipango na kutekeleza mipango yake, asa we kalia kufurahisha women hayanaga shukran hayo makeng€ 🤣🤣🤣
Case ndogo sana hyo. Kuwa nunda ila usiwakosee heshima. Mi wangu wali nyanyua mikono juu waisanda yanu. Salamu watapewa ila mambo yangu siwaambii wanakuja ambiwa tu jamaa kafanya 1,2,3 waongee wagombe mi nimekula barafu sina habari.
NB: Sio kila mipango yako ya kushirikisha wazazi. Fanya...
Blaza aache kusema ana hela, aseme anajimudu yeye maisha yake. Kuja kutambia watu Tsh 5 M, raba pair 6 na iphone 17 huo ji ushamba man 🤣🤣🤣
Zaidi inaonyesha dhiki aliyonayo na asili yake.
Yeye ange toa comment bana nlikua point A nimesogea point B namshukuru Mungu tunge mu appreciate na hata...
DDC mtaa wa muhonda, narung’ombe, congo, msimbazi demand ipo sana, frame zitalipa hela ya maana tu floor 4 kutoka underground, ground, first, second and third floor (pakikaa fresh) ni uhakika zitapata rent nzuri , huko juu ni ma store au office space tu.
Kwa mitaa ile demand sina mashaka nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.