Recent content by gidlameck

  1. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Niliyoyagundua baada ya kuwatembelea wagonjwa Muhimbili

    hayo nimekutana nayo toka mwezi wa 3 wakati namuuguza mama na sio hapo tu karibu hospital zote bima sio kitu tena
  2. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    haya mambo kwa tanga ni ya kweli kabisa mm mwenyewe nilikuwa handeni kijiji cha ndelema ukikuta nyumba hawajui uchawi basi wana mganga wao anaowatibu
  3. gidlameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya miaka kadhaa ya ndoa, nimegundua watoto wote si wangu

    kwa muundo wa dunia hii na nyakati zake hakuna mwanaume ataurithi uzima wa milele Sent from my V2109 using JamiiForums mobile app
  4. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    hii ndio story pekee ilifaonikiwa kufika tamati .umughaka vipi zile bima za afya bado ipo kiunoni?
  5. gidlameck

    JamiiForums Tanzania 2021 ilikuwa ya moto sana kwangu

    shukrani
  6. gidlameck

    JamiiForums Tanzania 2021 ilikuwa ya moto sana kwangu

    amina kaka
  7. gidlameck

    JamiiForums Tanzania 2021 ilikuwa ya moto sana kwangu

    ile january tu mahusiano yalinichapa kisawasawa ,nikajaribu kulima mvua ikazidi mazao yakaenda na maji, mwezi wa 8 nilipata tuhuma kali ya kutembea na mke wa mtu yule mama hata sijawahi kumsemesha ila nilivyofuatilia kumbe kuna siku rafiki yangu alikuja ninakoishi kunicheki mda huo yule mama...
  8. gidlameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafakari: Funika aibu zao na sio kuwaaibisha

    leo akili imekula chakula kipya kabisa
  9. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Azam Antena

    inategemea na eneo ila havina shida
  10. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

    yupo bodaboda nae aligonga gari ya mzee yule mzee akampa no ya cm bodaboda akamwambia ikifika jpl amtafute.ilivyofika jpl bodaboda akampigia cm yule mzee basi mzee akamwambia bodaboda anunue mbuzi aende nae yule jamaa akanunua akaenda kwa yule mzee.mzee alivyomwona bodaboda alifurahi kwani...
  11. gidlameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    ukweli utakuweka huru bora abaki 1 mwenye afya atalea watoto wenu
  12. gidlameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mwanamke asiye mke wangu

    kwa kawaida mwanaume kamili ni lazima ulete mwenyewe kesi nyumbani
  13. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mwizi mapanga mawili ya kichwa, akifa Mungu nisamehe

    Wenzake lazima watarudi kulipiza, hama hapo
  14. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Dalili zinazoonesha umepungukiwa nguvu za kiume

    mkileta maada mnatoa na suluhisho mnatuacha njia panda ya magole
  15. gidlameck

    JamiiForums Tanzania Kuota unapaa!!

    kumbe tupo wengi
Back
Top Bottom