Recent content by Gideerast

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za uwakala wa kanda Miss Utalii Tanzania 2019/20

    Bodi ya taifa ya shindano la kimataifa la Miss Utalii Tanzania,inahitaji mawakala wa kuanda na kusimamia fainali za Miss Utalii Tanzania kanda za: Kusini (Ruvuma,Lindi,Mtwara) Nyanda za Juu Kusini (Njombe,Mbeya,Rukwa.,Iringa,Songwe) Kati (Dodoma,Singida,Morogoro) Magharibi...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Miss utalii Tanzania chini ya EGC Honolulu promotion and general business ltd

    Mkurugenzi wa kampuni ya E.G.C. Honolulu Promotion and General Business,ndugu Gilson Nchangu,anatoa tahadhari kwa wananchi na jamii zima ya watanzania kuwa ,mashindano hayo yanamilikiwa na kampuni hiyo pekee,na kwamba hakuna mpango wowote wa kuyauza wala kuyakodisha kwa yeyote nchini wala nje ya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mtifuano kati ya Jenerali Ulimwengu na Mary Chipungahelo a.k.a Mama Chips

    Sahihisho ! Ni MRS Mary Chipss (chipungahelo's son) sio Mary Chips.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ualimu wa chuo cha St. Gideoni

    kibaha
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ualimu wa chuo cha St. Gideoni

    kibaha
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ualimu wa chuo cha St. Gideoni

    Mkuu wa chuo,ST.Gideon college,anautangazia umma wa watanzania NAFASI ZA KAZI za ualimu wa chuo,kozi za community development,journalism,records management na business administration. sifa za muombaji: bachelor degree au zaidi. Wasiliana na mkuu chuo kwa simu namba 0782800970,au tuma maombi yako...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya urembo sio ajira bali ni wito

    Tofauti na washiriki na washindi wa mashindano ya urembo katika mataifa mengine duniani, hapa Tanzania iko dhana potofu miongoni wa washiriki,waandaaji na hata mamlaka za usiamizi, kuwa ushiriki wa mashindano au ushindi wa mataji ya urembo ni ajira/ Dahana na imani hiyo potofu,iekuwa ni moja ya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Iringa: DC Kasesela aokoa roho za watu kwenye ajali ya Mlowa

    Richard,kwa tunao mjua ni mtu wa watu,kabla hats ya kuwa mkuu wa wilaya
  9. G

    JamiiForums Tanzania flash back mafanikio ya miss utalii Tanzania 2005-2012

    Chipps not Chips
  10. G

    JamiiForums Tanzania flash back mafanikio ya miss utalii Tanzania 2005-2012

    1. February 2005- miss Utalii Tanzania 2005,waweka historia ya kuwa rebo wa kwanza kabla na baada ya uhuru kutwaa taji la dunia (Witness manwingi ) 2. October 2005 - miss utalii Tanzania waweka historia nyingine ya kuwa rebo wa kwanza kutwaa taji la miss Africa 2006 ,katika fainali za iss Africa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Miss utalii yarudi kuikomboa sanaa ya urembo

    Miss Tourism Tanzania Organisation ,Waandaaji wa mashondano ya Mias Utalii Tanzania,wanakamilisha taratibu za kimkakati ,Mfumo na za kiserikali,ili kuanzisha tens mashindano hayo,yenyemafanikio makubwa nchini na nje ya nchi. Akithibitisha habari hizo,mmoja wa viongozi wa taasisi hiyo,am aye...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Miss Tourism Tanzania (Miss Utalii Tanzania) ,kueudi na mfumo mpya

    Miss Tourism Tanzania Organisation ,Waandaaji wa mashondano ya Mias Utalii Tanzania,wanakamilisha taratibu za kimkakati ,Mfumo na za kiserikali,ili kuanzisha tens mashindano hayo,yenyemafanikio makubwa nchini na nje ya nchi. Akithibitisha habari hizo,mmoja wa viongozi wa taasisi hiyo,am aye...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kashfa: Tigopesa wanadhulumu hela za wateja?

    Mimi ni mmja wa waathirika wa tigo hawajarudisha hela yangu yangu tarehe 17-8-2016
Back
Top Bottom