Recent content by GIANT90

  1. G

    Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Mfumo unafanyiwa maboresho ya mwaka mpya wa fedha
  2. G

    Kufundisha vyuo vikuu binafsi

    Hello family? Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje? Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi. Ahsante.
  3. G

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi ya kazi NSSF

    Wakuu habari zenu? Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo. Ahsante in advance.
  4. G

    Msaada kuhusu Ubungo Hostel - UDSM

    Sipo Dar, kuna kijana anategemea kwenda kuanza
  5. G

    Msaada kuhusu Ubungo Hostel - UDSM

    Habari wadau wa JF? UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students. Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters anahitaji kuishi Ubungo na sio Mabibo, what procedures to follow. Msaada kwa waliowahi kusoma hapo UDSM...
  6. G

    Kariakoo saga is a bad picture

    Absolutely comrade
  7. G

    Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

    Masters of science in Zoology/Botany
  8. G

    Kariakoo saga is a bad picture

    Absolutely, it needs some serious and permanent solutions to cure the problem
  9. G

    Kariakoo saga is a bad picture

    Recently our country specifically Dar es salaam (Kariakoo), there is an ongoing strike waged by businessmen boycotting a long chain of taxes posing to them. This is a bad picture to our loyal government as reveals how it failed to make prior solutions to her people. If the strike continue...
  10. G

    History Assistant Lecturer

    Habari wana jamvi! Naomba kuuliza market availability ya assistant lecturers wa History ukoje? Je endapo mtu ana GPA ya 3.8 undergraduate na 4.5 masters anaweza kupata nafasi mapema kutokana na demand ya wahadhiri wa History? Au atasugua sana kwa sababu wahadhiri wa somo la History ni wengi...
  11. G

    Nani anastahili kufundisha chuo kikuu?

    Nadhani kigezo cha GPA kingebaki hiko hiko cha undergraduate minimum 3.8 na Masters 4.0 and above, lakini kisiwe kigezo pekee. Wafanyiwe interview kuona uwezo wao wa ku instruct , kufanya tafiti na kusimamia darasa.
  12. G

    Jinsi ya kupata chance ya kufundisha vyuo vya kati kama diploma

    Wewe ni aina ya watu ambao ni mapimbi, umefundishwa na walimu then unawadharau kama sio upimbi nini? Na watu kama nyinyi hata elimu yenyewe hamna ya maana PUMBAVU
  13. G

    Jinsi ya kupata chance ya kufundisha vyuo vya kati kama diploma

    Kwenye website ya wizara ya elimu ila qualifications ni lazima uwe na ufaulu mzuri na uzoefu wa kutosha
  14. G

    Je, naweza kujitolea kama Tutor Assistant?

    Vipi assistant lecturers wako wengi au pia kuna uhaba?
  15. G

    Jinsi ya kupata chance ya kufundisha vyuo vya kati kama diploma

    Na wewe pia ni pimbi, huwezi kufanya generalization namna hiyo. Kama mwalimu mmoja hajui haiwezekani ujumuishe walimu wote. Boda boda na walimu ni watu wa aina mbili tofauti, walimu ni wanataaluma na boda boda ni wajasiliamali wa usafiri. Anyways ! Utaratibu ni kuandika barua ya kuomba transfer...
Back
Top Bottom