Recent content by MANDEVUMENGI

  1. MANDEVUMENGI

    Uliwahi kulilia mapenzi?

    Daa mkuu ungefungua uzi kabsa maana umeongea kwa uchungu sana!
  2. MANDEVUMENGI

    Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Ndomana biashara ya duka la mangi sitokaa niifanye maana itanitia hasira nitatukana wateja bure imagine mtu anataka kibiriti cha sh 100 au kiwembe cha 100...hawa jamaa wanaouza maduka ya mangi wana uvumilivu sana aisee! Mtoa mada yupo sahihi,faida atleast iwe asilimia 30 apo watu watapata faida...
  3. MANDEVUMENGI

    Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Sijajua mnaoa wanawake wa aina gani,kwann asirap na mic mpaka wewe umwage??...mm wa kwangu tukiwa hatujasex wk mbili halafu ikatokea situation kama hyo huwa hajiulizi mara mbili anaomba mwenyewe mic arap...sasa mwanamke kama huyu unamcheat vp...sema wanaume tulivyo na roho ngumu tunacheat!
  4. MANDEVUMENGI

    Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Hii account ya insta,kwa wale matomaso kaangalie picha zaidi za kidume mwenzio mwenye papuchi fake[emoji23]
  5. MANDEVUMENGI

    Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Hii picha alivyokuwa dume
  6. MANDEVUMENGI

    Kwa alichopost Stamina anajiona katoboa, anatudharau

    Je hyo ni account halisi ya stamina?...kama ndio au hapana,je hicho kilichoandikwa kina ubaya?...kama kina ubaya tudadavulie!...by the way kaandika kitu KONKI sana!
  7. MANDEVUMENGI

    Nilisababisha mama mkwe kupewa taraka, kosa Moja tu

    Mwamba anafanya kukopy story facebook anakuja kupaste jf[emoji23]
  8. MANDEVUMENGI

    Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Mkuu umezunguka sanaaaa,ila kuhitimisha ni kuwa private car ni muhimu sana na sio anasa!
  9. MANDEVUMENGI

    How can I check my luck by date of birth?

    Daaa mkuu hapo kwenye madhaifu ni sahihi kabsa,inawezekanaje aisee?..[emoji23]
  10. MANDEVUMENGI

    How can I check my luck by date of birth?

    Mimi 9 naomba mniambie,halafu orodhosheni luck namba zote na maana zake!
  11. MANDEVUMENGI

    Mdau anaomba miongozo baada ya kukuta hiki kifaa kwenye mkoba wa mpenzi wake

    Butty plug,,na hyo ni maalumu buza kwa mpalange....
  12. MANDEVUMENGI

    Uchumi wako unaweza kununua kitu gani unachojisikia?

    Watu wana hela mazee...siku moja kuna mzee alinipa simu yake nimrekebishie akiwa anapiga aweze kuchagua either ni sim1/sim2 sasa alivyonipa ilikuwa upande wa msg niliona msg crdb bank(naona aliweka mpunga siku hyo) mzee ana 600m halafu yuko normal kabsa!
  13. MANDEVUMENGI

    Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Kijana acha ubahili,akila yeye wewe unadhurika na na nini?...yaan mtoto wa watu umlishe tembele daily amekuwa mbuzi?...yaan kununua nyama nusu inakushinda?...wewe huna uwezo wa kuishi na mke ishi peke yako nyang'au weee!
Back
Top Bottom