Recent content by GhostRyder1

  1. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Nakulilia Thomasi Mashali, pumzika kwa amani. Makonda yuko busy na Scorpion

    Kwa kweli siwezi kutoa ufafanuzi wa kifo chake kwa sababu sikuwepo mkuu. Ila kwa machache ninayofahamu huyu jamaa hakuwa mtu mzuri katika jamii.
  2. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Nakulilia Thomasi Mashali, pumzika kwa amani. Makonda yuko busy na Scorpion

    Jibu mbona liko dhahiri mkuu. Nenda huko Tandale na Manzese ndio utaelewa. Jamaa alikuwa anaishi "Double life". Mchana ni bondia mahiri na Usiku alikuwa ni mhalifu hatari sana...kama alivyojiita mwenyewe SIMBA ASIYEFUGIKA.
  3. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiweka TBC 1 Mwanangu analia sana

    Dah! Wewe nae ni Baba? Namhurumia huyo mtoto na ustawi wa maisha yake ya baadae. Binadamu kama wewe mngekuwa mnahasiwa tu...kwa sababu hauna vigezo kwa kuwa Mzazi bora kwa kiumbe unachokileta Duniani. Unaleta kiumbe duniani ambacho kitakuwa mzigo katika jamii. Kwa post yako nina hakika...
  4. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Nakulilia Thomasi Mashali, pumzika kwa amani. Makonda yuko busy na Scorpion

    Huyu jamaa alikuwa mhalifu. Nenda maeneo ya Tandale na Manzese watakupa taarifa zake. Na vyombo vya Dola vilikuwa na taarifa zake. Vijana wengi walioingia kwenye ndondi miaka hii ya karibuni ni Wahuni na Wahalifu wakubwa katika jamii. Kwenye mazishi jana walijaa wezi na wahalifu kwa asilimia...
  5. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Uzio wa hospital ya umma kuchorwa matangazo ya biashara, hii imekaaje.

    Hao watengenezaji wa hiyo bidhaa watakuwa wanalipia hilo tangazo hapo hospitali au katika halmashauri husika. Fanya utafiti.
  6. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar elfu 40 wafungua kesi mahakamani kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Na Zanzibari ina wakazi kiasi gani jumla?
  7. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Diamond kuuza Instagram Account yake kwa shilingi bilioni NNE za Tanzania

    Kawekeza kwenye nini chief?
  8. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Scorpion anayetoboa watu Macho Buguruni, akamatwa

    Mimi binafsi nilitegemea hivi mkuu. Ana bahati sana huyo nyang'au. Maana kikosi kazi kilikuwa kazini. Eti mtaalamu wa ngumi anapendelea watu wakija wengi!!!! WTF!!?? Haina haja ya kupoteza hela ya walipa kodi....huyu jamaa ilibidi atumbukizwe kwenye cyanide kule mgodini. Hapo bugurini...
  9. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

    #Bombadia ndio habari ya mujini.
  10. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

    Muda wake huyo Scorpion ndio umefikia mwisho. Mtasikia hivi karibuni.
  11. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakati Serikali ya Magufuli Inadaiwa Kila Mahali? Ndege ananunua za Nini?

    "You have a freedom to speak...but i can not guarantee your freedom after speech". Jitafakari.
  12. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

    Kabisa mkuu. Huyu alitamba huko buguruni kwa kuwa wanaleana huko. Angekuwa pande za Kinondoni tayari zamanii mbona. Ulitoa mfano wa madogo wale kina Chamsela na wenzake. Mitaa hii haina usambusa wa kihivyo chief na wewe unaelewa. Magari tunalaza njee kwa amani kabisa.
  13. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Polisi kamateni wanaokejeli

    Safi sanaaa.
  14. GhostRyder1

    JamiiForums Tanzania Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

    Kama mna taarifa zake za ziada wekeni hapa ili wenye shughuli zao wafanye yao. Huyo jamaa hawezi kunyima Watanzania usingizi ...yeye ni nani? Wekeni anapopatikana...kama kuna mtu anajua nyumbani kwao kwa wazazi wake ili apelekewe hii vita mpaka kwao.
Back
Top Bottom