Mwigulu: Polisi kamateni wanaokejeli

Mwigulu: Polisi kamateni wanaokejeli

ameacha kupambana na madawa ya kulevya anapambana na kejeli???


bwana utuhurumiee.....
 
Hivi lile agizo la kukamatwa vijana wote wenye nguvu mikumi linaendeleaje??
 
Badala awaambie watumie akili yeye anawaambia watumie nguvu! Badala ya kutafuta suluhu kwa kujua chanzo cha tatizo yeye anaona sahihi ni kushughulika na matokeo! Hiyo inakuwa sawa na ule usemi wa kiingereza kwamba... "The way you see the problem is the problem". Halafu mwigulu anapowataka polisi watumie nguvu ina maana yeye anaifahamu taaluma ya polisi kuliko polisi wenyewe?
 
Amekosa cha kuwafariji akaamua awafariji na hilo .sasa hivi ningumu kwao kutoa ahadi hewa .sasa hivi ni msema kweli kipenzi cha Mungu
 
Kukosoa kwa kujenga ni vema...lakini kejeli zingine zinazidi kwakweli,
 
Putin--129319.jpg



Vladimir-Putin-Carrying-Viktor-Yanukovych--123578.jpg

Vladimir-Putin-Drops-HIs-Pants-For-Obama--112336.jpg


Jaribu ufanye kwetu uone cha moto.
Miaka 250 jela na kazi ngumu....ukiingia viboko 12 na ukitoka viboko 12....ili wengine wajifunze. Sipendi nanihii kabisa!!!
 
Hivi yale maagizo ya siku saba, wiki mbili, ziara za kushtukiza mara tu baada ya kuteuliwa kwa mawaziri wetu kuliishia wapi? Kuna aliyefuatilia maagizo hayo na kumalizika kwa muda wake, yapo yaliyotekelezwa? Ikiwa itakuwa utendaji wetu ni kukamata watu kila siku, basi hii siyoTanzania kama nchi, bali Shule ya Sekondari Tanzania. Tufanye kazi za msingi, itakuwa ni Tanzania pekee duniani ambayo raia hawana haki ya kukosoa watendaji wake, na ni katika kukubali kukosolewa, watawala hupata mrejesho na kurekebisha mambo.
Flow meter...bandari salama
 
Back
Top Bottom