Recent content by ghona18

  1. G

    Tanzania ni miongoni mwa nchi chache zilizohudhuria kuhamishwa ubalozi wa marekani Jerusalem

    Waziri alienda kufungua ubalozi wa tanzania nchini [emoji1134] Israel na siyo kuhudhuria kuhamishwa kwa ubalozi wa USA [emoji631] -kama nilimsikia waziri Mahiga akisema ivo (over and out
  2. G

    Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

    Zipo kwenye mfuko wa shati
  3. G

    Nauza Kiwanja Bunju Bei Chee

    Milioni tatu kama kina hati nikupe
  4. G

    DRC: Majaji wawili wajiuzulu wa mahakama ya Katiba wajiuzulu

    Sijaelewa hapo kwenye mwaka au
  5. G

    Mnaosema kwamba mke hachunguzwi piteni hapa

    Ukiandika kwa. Lugha ya Mzee Julias wa Butiama utanishtua mkuu
  6. G

    Kiwanda cha madawa cha Shellys kina ugomvi gani na Serikali?

    Najaribu kuwaza tu inawezekana anatengeneza dawa hapa nchini lakini anauza kwa bei kama umeagiza nje..kwa hali hii serikali haiwezi kukupa ushirikiano ,,,,najaribu kuwaza izo material zilizozuiwa bandarini (kama zipo) labda hawataki kulipa kodi (wanataka msamaha) ili hali dawa wanauza ghali...
  7. G

    Kioo cha simu Samsung J7 kinahitajika

    Nenda kwa mafundi wa simu acha ubahili
  8. G

    Huyu mkuu wetu wa shule vipi?

    Mkuu wa shule akijichimbia ofisini maneno,akisema hataki mwaliko/safari mnasema mkuu anaogopa kwenda kwenye shule Za jirani kwa sababu ya hajui lugha ya malkia. Mwalimu mkuu akisafiri mnasema anazurura tu bora amtume mwalimu wa taalum. Ebu tumuache...
  9. G

    Nahitaji kununua kasuku

    Wapo pale osterbay kuna jamaa wanauza mauwa pale nimewahi kuwaona wakiuzwa (kanisani sant Peter)
  10. G

    Yanga SC yapangwa dhidi ya Woilatta Dicha ya Ethiopia

    Vipi tumepangiwa nani tena
  11. G

    Goli la toa pisto!!

    Offside iyo
  12. G

    Goli la toa pisto!!

    Nimewahi tayari
  13. G

    Angalizo: Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo hufanana na dalili za magonjwa ya moyo

    Hongera kwa dr maana mi ninateseka Mpaka leo hii na tumbo linajaa gest mnoo nimetumia dawa Mpaka nimechoka
  14. G

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi aliyeripotiwa kupotea, Abdul Nondo apatikana Mafinga mkoani Iringa

    Unaushahidi lakini??? Ulishawahi kutemwa na hao jamaa?? Au unatuingiza kingi
Back
Top Bottom