Recent content by ghenry25

  1. G

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuwakata 15% wadaiwa bodi ya mikopo elimu yasainiwa

    Itafikia wakati tutachoka sasa wanaangalia hali ya maisha kweli???? Ufanisi wa kazi utakuwepo kweli??? Kwa hali hii kuna watumishi wa serikali watabakia na mshahara wa laki moja
  2. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha mathematics

    Km watu mpo committed kweli na upo Dar tufungue centre tupige kazi kuajiriwa ni mzigo
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Physics na Chemistry anapatikana

    Upo wapi mkuu?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha mathematics

    Upo wapi mkuu?
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi mnayajua lakini wanayoyafanya watoto wenu?

    Nashangaa jamii kujifanya wameguswa ktk hili wakati kwenye ishu ya Msigwa mliwaita walimu majina ya kila aina "Majambazi, wauaji, hawajui leba nk" Sasa walimu waacheni wazazi, walezi na serikali wanaojua uchungu wa leba walee watoto wao
  6. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwanza sehemu gani?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    BED MATH
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi mwalimu wa Mathematics natafuta ajira ya kufundisha jioni nipo Dar Kigamboni
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Chemistry na Biology anatakiwa

    Ukitaka mwalimu wa hesabu yupo
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mtaji milioni 3, biashara ipi itafaa?

    Namba yako tafadhali nataka kuanza hyo buznes
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Vikindu sehemu gani?
  12. G

    JamiiForums Tanzania Viwanja Dar Zoo

    Ni matapeli hao
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kampala Junior Sec.School

    Kama mnahitaji mwalimu wa hesabu mwenye uzoefu wa miaka7 nipo
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ukioa au kuolewa na mwanafunzi jela miaka 30

    Anaepewa mimba pia afungwe labda kama kabakwa mabinti nao ni chanzo cha kupigwa mimba
  15. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Iringa mjini ingekua poa
Back
Top Bottom