Pamoja na kwamba Wamarekani na Wazungu wanatuendesha Waafrika, Wanatumia ubabe kututawala kwa UKOLONI MAMBOLEO, Ila na sisi Waafrika tunatakiwa kutulia, ELSHABAB WANATISHIA AMANI AFRIKA. ubabe wa nchini kwao wanataka kuziletea na nchi zingine afrika. Wametoka Kenya, wameanza TZ, fununu zinasema...