Marekani kuishambulia Somalia

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Marekani wapo kwenye mpango mkakat wa kuishambulia Somalia kwa lengo la kuwatafuta na kuwaangamiza Al-Shabab wenye makaz yao Somalia!
Marekani wameshaanza kuzifanyia marekebisho ndege zake ambazo hazina rubani na huendeshwa kwa mitambo maalum,ndege hzo zipo kusini mwa Ethiopia katika mji wa Arba Minch!
>Leo Somalia,kesho wataingia Kenya ila siku watakuja Tanzania,mabeberu wana Ila nying sana!
 
Pamoja na kwamba Wamarekani na Wazungu wanatuendesha Waafrika, Wanatumia ubabe kututawala kwa UKOLONI MAMBOLEO, Ila na sisi Waafrika tunatakiwa kutulia, ELSHABAB WANATISHIA AMANI AFRIKA. ubabe wa nchini kwao wanataka kuziletea na nchi zingine afrika. Wametoka Kenya, wameanza TZ, fununu zinasema Wamepanga kufanya mashambulizi hapa kwetu.
 
Back
Top Bottom