Adobe Flash CS Series Magic-What have you done with this Magic Wand?-Tell JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adobe Flash CS Series Magic-What have you done with this Magic Wand?-Tell JF

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mazd, May 12, 2011.

 1. mazd

  mazd Senior Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Adobe imejitokeza kua kampuni iliyoshika hatamu katika sekta ya 2D graphics-walio wengi katik yetu-ukiwatajia "Adobe" wanadhani ni "Photoshop" au "Adobe Reader", but ukweli ni kwamba, adobe ni shirika liliotengeneza program nyingi za designing-ikiwemo "Flash" hii kwangu mimi ni Software ambayo ziwezi kuikosa katika my Home Computer and my Animation Studio's computers--kwa kweli ni more powerful hasa hizi za CS Series-mimi niko na CS3 Pofessional--Achana nayo--Wewe unasemaje kuhusu hili au ipo ambayo unahisi ni bora kwako?
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,143
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  Kaka Unajua watanzania wengi ni wanyonge wa ICT kwa ujumla wake, umeipa sifa nyingi sana Adobe CS3 Professional hasa "Flash" unachopaswa kutujuza hapa kaka ni namna ulivyofaidika nayo na pengine kutupa somo inatumikaje na manufaa yake na pengine hata ku-attach projects ambazo umeifanyia kazi.

  Nashukuru kwa Nia yako njema kaka!!!
   
 3. mazd

  mazd Senior Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi huwa naitumia Adobe Flash katika cartooning zaidi-Wiki iliopita nilifungua "Animation Studio" ikiwa na wafanyakazi 10 ambao nimewasomesha Adobe Flash in 2 Weeks-na kwa sasa tunaitumia pamoja kutengeneza filamu moja ya katuni za kiswahili kama ni test ya skill yao-kabla hatuaanza na serious project--sisi tunaifadi sana katika kuaanda michoro ya katuni hao: unaweza kucheki website yetu kuona baadhi ya kazi tulizoweka online week ya mwanzo: Hermitscorp Laboratory na punde tutaweka badhi ya vipande vya filamu hiyo.Thanks for idea.
   
 4. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mkuu mie nafurahi kwa kuisifia hiyo adobe flash CS3 professional. Mie nilidownload na kupata key humu mtandaoni, nimeinstall na key inaonyesha ni sawa ila inanitaka niactivate, na nikiactivate inaniambia unsuccessful activation error code 194:8 inanipa option ya kuactivate kwa phone. Sasa sijui nifanyeje maana naihitaji sana kwa ajili ya kutengeneza animation za kufundishia wanafunzi, japo sina utaalamu nilitegemea kujifunza mwenyewe. Pia kama una key za Corel Draw Sutes Graphics Suite X4 or X5 naomba msaada wako maana nimtafuta kwenye net sijapata. Natanguliza shukrani kwa wana JF wote.
   
 5. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu naomba basi hicyo cs3 namimi unipe?
   
 6. mazd

  mazd Senior Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nashindwa niwape hiyo c3 kwa jia gani coz ya kwangu nimeletea katika dvd na ikiwa full version, na internet ya upload dvd hiyo hapa sila.ila rabda niwasaidie kusaka activator.next time nitawapj jibu kamili, saivi home hamna umeme.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 8. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  I'm also into flash, graphics in general and some programming; a begginer though. I wish ningepata mtu wa kuniendeleza zaidi. I'm really in need of a person to help me on my way.
   
 9. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimegundua, maybe hata haya matangazo kama ya EATV wanatumia flash.
   
 10. mazd

  mazd Senior Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  @Givenality Kwa kweli Flash inatumika sehemu nyingi-kwa nyule anaetaka nimuelekeze katika field ninayoifanyia kazi mimi(Cartoon drawing)-Email Me (Not MP)

  @Mtazamaji Thanks mkuu kwa link--CS5 ni bomba zaidi lakini kwa PC zangu nadhani ni sawa na kumbebesha punda kontena-friend wangu anayo C4-na ipo katika blueray disk--Kama 6GB ivi-nimemuachia mwenyewe mimi sina ninachokifuata katika c4 kwa sasa-pia PC yenyewe ndio ivyo
   
 11. mazd

  mazd Senior Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwalimu sidhani kama unaweza kukosa hizo keys na activation code katika link hii: ASTALAVISTA.BOX.SK

  Onyo: LINK HIYO NI YA SEARCH ENGINE YA KIUME-IMEKONTENI PICHA ZA MAAJABU--SO PLEASE USIFUNGUE HADHARANI--ILA HAKIKA NI WEB YA UKWELI WA WASIOTAKA KUNUNUA PROGRAM.
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yah hata mm niliona niliistal CS5 inakula memory na kufanya PC iwe nzito yaani PC PC ilikuwa inasinzia. Ure very right nikimalizaga kujifunza na i unisntall

  BTN
  Ebu nipe darasa kidogo kuhusu flash .Je kutumia hiyo flash unaweza kutengeza au kuprogram animated avatar au similies
   
 13. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mkuu nashukuru sana ngoja nibofye hapo niione nitawajuzi kama nimefanikiwa. Nashukuru kwa elimu yenu wana JF wote nasi ambao si wana IT tutatokea humu humu, shule tosha twapata.
   
 14. mazd

  mazd Senior Member

  #14
  May 13, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndio Mkuu-just draw your avatar, then break him apart use transform tool to change arms or mouth position while you create new frame for each pose then export it to gif file--But hii ni short (Nimechukulia kama ni mtumiaji wa katinakati wa Flash)--Kama bado sijaelewe-Nambieni niweke ajilesani kidogo hapa.
   
 15. mazd

  mazd Senior Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ni sample logo of my Animation Studio created with Abobe Flash C3 Pro;
  Logo.png
   
 16. ggkitangala

  ggkitangala Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa, naomba unisaidie hiyo crack, nichakachulie Adobe flash cs3 yangu
   

  Attached Files:

  • bee.jpg
   bee.jpg
   File size:
   18.8 KB
   Views:
   20
 17. mazd

  mazd Senior Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu ya kwangu imekuja full version kama nilivyo elezahapo juu-ila kama huoni shida kutafuata-bofya link niliotuma hapo juu.
   
 18. mazd

  mazd Senior Member

  #18
  May 25, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  This is next Adobe Flash CS3 Magic:

  animated_Mwangaji_hslabAnimationStudio.gif
  Warning:This is copyrighted art, created by HSLAB Animation Studio workers, it allowed to be viewed anywhere(but not for business promo) and you must contact hermitscorp@gmail.com for permission.SOURCE: Hermitscorp Laboratory
   
Loading...