Nakubaliana na wewe Mkuu kuwa kwa mshahara wa serikalini huwezi kupewa 1b, ila angalia mkuu, watu wako na side hustle zao ambazo huwezi jua. Mf. Kwetu kanda ya ziwa watu wana maduara, siku shimo likitema vizuri. 1b inapatikana.
Mawazo yangu mimi ni haya.
1. Statement sio ya kweli na...
Good. Kwakuwa tumeshaikubaliana kuwa hiyo ni loan. Basi tunaenda vema.
Kwenye loan naomba wataalamu wa biashara waje kutupa mwongozo mzuri zaidi.
Lakini, jua kuwa si watumishi wote wanategemea mishahara. Mikopo ina mambo mengi kuliko unavyodhani. Kwahiyo kuweka akili kuwa amepata mkopo sababu...
Mange ana hoja, lakini hizi nyaraka zake zina walakini.
Statement imeonesha kabisa kuwa ile 1b ni loan disbursement , ila kwa jinsi ilivyo chanwa chanwa.. inaonekana kuwa ni ya mchongo..
Ni kweli kwenye kufanikiwa huwa ni ngumu kupata mafanikio kwenye nyanja zote za maisha, UKO SAHIHI.
Lakini maanandiko yanasema aliwaumba siku moja, mtu mume na mtu mke. Mwanamke wa kwanza aliona Adam anamzingua akaamsha.
Search for Lilith.
Pia jiulize kwanini Biblia inasema kizazi cha nyoka...
Una ungonjwa unaoitwa Herpes, huu ugonjwa huambukizwa kwa njia ya Ngono au kugusana na maji maji ya mtu mwenye huu ugonjwa.
Ungonjwa huu ni virusi, hivyo hauna dawa. Lakini kwa takwimu ni ugonjwa usio madhara makubwa endapo mwili wako una kinga ya kutosha.
Ni kama mafua, ishi nao.
Pia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.