Recent content by geza mkali

  1. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Vyeti vyangu, naweza kupata vingine??

    Ni cheti cha form six nimemaliza 2O14
  2. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Vyeti vyangu, naweza kupata vingine??

    Naenda nayo Necta??
  3. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Vyeti vyangu, naweza kupata vingine??

    Kana huna la kuchangia ni bora ungekaa kimya Nyau wewe[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
  4. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Vyeti vyangu, naweza kupata vingine??

    Habari JF, Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha IFM, niliibiwa vyeti vyangu vya form six, pamoja na Laptop yangu katika begi, nilikuwa naulizia kuwa naweza kupata vyeti vingine kutoka NECTA?? kwa aliewahi kufuatilia suala kama hili, msaada Tafadhali
  5. geza mkali

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda zingatia kanuni za utumishi wa umma uwe mfano kwenye jamii

    Namuona Mzee Baba apoo
  6. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Naomba wataalam wa ku-root tecno

    Download kingroot ya Google, sio kutoka playstore au kutoka kwenye website yao www.kingroot.com hilo file linakama Mbs 2O tuu
  7. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye ujuzi wa ku-trace simu anisaidie

    huko hakuna msaada wowote mkuu, yani ni pesa mbele, mimi niliibiwa begi langu likiwa na laptop na vyeti vyangu nikiwa chuo pamoja na simu yangu but till now nothing is done
  8. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Natengeneza Blogu na Website kwa bei rahisi kabisa

    Hello JF, Kama heading inavyojieleza natoa huduma za kutengeneza blogu na website kwa bei nafuu kabisa ya kuanzia elfu 2O/= nichek WhatsApp O652 92O 596
  9. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Blogu na kuinganisha na Google AdSense

    Habari JF, Mimi ni mtaalamu wa masuala ya IT na nimekuwa nikijihusisha na masuala ya kutengeneza websites na blogs kwa muda mrefu sasa, kwa yeyote anaehitaji kutengenezewa blogu kwa bei rahisi kabisa ya kuanzia elfu 2O/= ikiwa na muonekano mzuri na kuinganisha na Google AdSense Napatikana...
  10. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumuunga adsense, kampuni gani tena nzuri kwa matangazo?

    web yao seebait.com sehemu ya publisher na sign up kwa kutumia google+
  11. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kumuunga adsense, kampuni gani tena nzuri kwa matangazo?

    kuna kampuni moja ya kibongo inaitwa seebait.com unaeza kuitumia kwa kuweka ads katika blogu yako iko fresh sana na wanalipa kuanzia $5O ingia kwenye web yako, au nichek kwa WhatsApp O65292O596 / Mpemba
  12. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka nibadilishe title kwenye blog yangu

    ingia katika blogu yako setting>user >change address
  13. geza mkali

    JamiiForums Tanzania Polisi yawaonya Viongozi wa Makundi ya WhatsApp. Yawataka kutoa taarifa kuhusu uhalifu utakaofanyika kundini

    It's so hard to control the technology
Back
Top Bottom