Ya kujikunja elfu 20 free delivery in dar mpaka ulipo unaletewa 0752999094 hyo wireless na mouse yake elfu 30 free delivery in dar
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Karibuni nauza vifaa vya simu na computer kwa Bei ya jumla na rejareja karibuni mno
0656804462 getrude
Kkoo mtaa wa agrey na likoma
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mimi sitakuja kuwahasahau waliniibia laki mbili mwezi wa nne mpaka leo sijui niliibiwaje ibiwaje inauma sana sjui alijuaje no yangu ya Siri
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kiukweli kujiari ni kuzuri na kunanufaisha kuliko kuajiriwa mimi nilikuwa nafanya kazi inanichosha Sana wiki nzimq nipo kazini kuondoka asubuh kuliko usku afu msharaha ndo hvyo hauelewiki sasa ivi nimejiajiri napata pesa nzuri kuliko msharahara niliyokuwa nalipwa kujiajiri ni kuzuri sana.
Sent...
Kiuweli mm sijawahi kuwaamini hao jamaa walishawahi nishawishi nijiunge niuze PC yangu Ili nijiunge na kipindi icho ilikuwa laki sita kujiunga duu hamna kitu maybe ukitaka ufanikiwe kwa hiyo business Basi ufahamiane na wenye hell asa kama Mimi najuana na watu wenye uwezo mdogo nawezaje kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.